Budget accommodation in Dubai

Budget accommodation in Dubai

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,522
Reaction score
14,004
Habari zenu wakuu?
Najua hapa JF ni kisima cha maarifa
Naomba kujua budget accommodation near Dubai international airport (DBX)
Nina connect flight arrive 17:00,then departure next day around 08:45
Naomba kujua sehemu ya kujipumzisha tu ili mradi kukuche.
Asanteni.
 
Kwa sasa ni too late ila ingekuwa kabla ningekushauri
Next time when you book your flight hakikisha unawaambia wa book na chumba kabisa kama unalala
 
Yaaan hapo ndo unatufunga midomo wengi maana safar zetu n mkoani Kilimanjaro tena mwisho wa mwaka huko kwingine hatujawah kufka wengi sana humu ndan
 
Umeuliza airline uliyopanda kama watakupatia hotel.. nyingi kama sio zote ikizidi masaa nane.. ikiwa unaendelea nao na safari au partners wao.

Pia kuna hotel hapo hapo.. cheki website yao uone bei.
 
Habari zenu wakuu?
Najua hapa JF ni kisima cha maarifa
Naomba kujua budget accommodation near Dubai international airport (DBX)
Nina connect flight arrive 17:00,then departure next day around 08:45
Naomba kujua sehemu ya kujipumzisha tu ili mradi kukuche.
Asanteni.
Halafu Sasa hivi ukikata Emirates kutokea Arlanda Stockholm mwezi kabla ya Safar Ni 2600 SEK sawa Na 250 euros Ila wajanja wanataka utumie Dubei.

Kwanini usingekata tekish?
 
Nina safiri na fly dubai kwa hiyo hakuna namna ya kukwepa kuwepo Dubai kwa muda huo,japokuwa wamebadikisha original schedule ambayo the same day ilitakiwa nikonnect flight.
 
jaribu kufanya booking st. george ni budget hotel iko katika mandhari nzuri karibu na dubai creek pia gold souk.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom