mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,765
Kuna malalamiko mengi, kuwa watanzania hatupendi kusoma. NI KWELI.
Ukitaka kumficha maarifa mtu mweusi maarifa yaweke kwenye kitabu. NI KWELI PIA.
Waafrika tumekuwa kwa kupigiwa stori, hadithi na masimulizi ya kihenga. Ndio inakuwa njia ya awali ya sisi kujipatia maarifa. Ghafla ukubwani unalazimika kuyapata kwa kusoma, hapo lazima uchukie kurasa.
Tangu mapinduzi ya kifikra ulaya, kusoma imekuwa ndio njia sahihi ya kujipatia maarifa zaidi ya stori za wahenga.
utumwa na ukoloni utaisha, siku tutakapoamua kusoma tangu utotoni. Mapenzi ya kusoma yatakapozidi mapenzi ya kuhadithiwa mambo na watu waliosoma habari hizo