Binadamu anahitaji vitu vitatu tu ili aishi

Binadamu anahitaji vitu vitatu tu ili aishi

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
6,528
Reaction score
8,249
1. Hewa (oxygen )
2. Maji
3. Chakula

Vitu vingine ni mbwembwe tu japo kujamiiana ni jambo zuri endapo litatumiwa kwa lengo la kuzaliana na sio starehe

Amini naambiwa, endapo mwanadamu atakosa moja kati ya hivyo vitu hapo juu, basi ujue hana uhai tena.

Mambo ya mavazi, makazi na vitu vingine unavyovijua wewe, havina maana yoyote linapokuja suala la kuwa hai.

Kikubwa cha kufanya kwa nyie mlio hai, hakikisheni mnawaandalia mazingira mazuri walio nyuma yenu kuhakikisha hivyo vitu watavipata kwa urahisi
 
Hapo kwenye chakula uongeze na JIWE [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
1. Hewa (oxygen )
2. Maji
3. Chakula

Vitu vingine ni mbwembwe tu japo kujamiiana ni jambo zuri endapo litatumiwa kwa lengo la kuzaliana na sio starehe

Amini naambiwa, endapo mwanadamu atakosa moja kati ya hivyo vitu hapo juu, basi ujue hana uhai tena.

Mambo ya mavazi, makazi na vitu vingine unavyovijua wewe, havina maana yoyote linapokuja suala la kuwa hai.

Kikubwa cha kufanya kwa nyie mlio hai, hakikisheni mnawaandalia mazingira mazuri walio nyuma yenu kuhakikisha hivyo vitu watavipata kwa urahisi
Mkuu naomba nioingane na wewe kwakusema kwamba......
Binadamu anahitaji vitu vitano na sio vitatu kama ulivyo tanabaisha.
Naomba niongeze mahitaji mengine ya lazima kwa binadamu ili aishi ni:-

4. Shelter
5. Self Defense
 
kuna ndugu hapa ananiambia hewa na pesa ndo kila kitu?
 
Unaweza ukawa na maji,chakula na hewa ila ukawa huna afya njema na ndiyo ikawa sababu ya kupoteza uhai.
 
Back
Top Bottom