Channel Ten hebu jitahidini kuajiri watu makini

Channel Ten hebu jitahidini kuajiri watu makini

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
8,258
Reaction score
12,640
Sasa huyu muajiriwa wenu kaandika WAKORONI kwenye kipindi ambacho huwa naamini ni makini...mnatuangusha watazamaji...au mmeajiri mZulu!
IMG_20180325_211413.jpg
 
Mistake is the part of life. Any one who never made a mistake has never tried anything new
 
Hivi hiyo picha ya avatar yko ulikuwa makini wakati unaichagua?.
 
Mistake is the part of life. Any one who never made a mistake has never tried anything new
Usitetee uzembe! This is NOT a mistake. Huu ni UZEMBE! Watanzania tumezoea uvivu na uzembe kiasi ambacho tumefikia hatua ya kuita uzembe ni bahati mbaya.
 
Back
Top Bottom