dottoz
JF-Expert Member
- Jan 29, 2012
- 1,510
- 881
Mwaka huu na ujao sio mzuri wa kukopeshana pesa ,maana mtazinguana mpaka baasi kwenye kurejesheana.
Kuna mtu nimemkopesha pesa imefikia hatua namtumia ujumbe whàtsapp anausoma afu hàjibu kitu siku ya tatu sasa anatabia hiyoo.
Acha sasa kila mtu apambane na hali yake.