Sukari tumeshindwa , Je tutaweza viwanda vya dawa?
Ni akili mbovu tu.....Sukari kutoka Brazil or Pakistan iwe cheap kutoka Tanzania?
Sukari ya Brazil na Pakistan iwe bei rahisi kuliko kilombero au Kagera?
Mafuta ya Alizeti ya Sunbelt Lita 3 ni 19,000 na Fresh ya Kenya ni 13000?
Kilimo tumeshindwa..Je tutaweza Viwanda?
Wake up Watanzania...Huu ni usaniii Tanzania ya Viwanda
Hata blender ni kiwanda cha vinywaji...Ooh My God...!