Ghost Worker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 1,412
- 1,869
Hutu tutoto tunavyoingiaga kwenye mapenzi tunajiona tujaaanja dunia nzima yao na wazazi wanaojaribu kuwa weka kwenye mstari washamba tu hawaujui utamu wa dunia.
Wewe daud umempa nini mtoto wa mwenzio? Dah ila first Love anakuaga mtamu saaana, nikiwa Form Two niliamini nilipata demu, niliamini niko peke yangu na kwamba siwezi ku-share kabisa demu na mtu mwingine, yaliyotokea yananiumiza hadi leo"Nampenda sana Daudi, siwezi kukaa naye mbali najua hili ni kosa kwangu lakini nawaomba wazazi wangu mumpende sana Daudi maana akiwa kwenye matatizo, mimi sitajisikia vizuri"
Taarifa zaidi kutoka kwa mashuhuda wa tukio wamesema binti huyo alipojinyonga aliacha ujumbe uliosema kwamba "Nampenda sana Daudi, siwezi kukaa naye mbali najua hili ni kosa kwangu lakini nawaomba wazazi wangu mumpende sana Daudi maana akiwa kwenye matatizo, mimi sitajisikia vizuri".
Mbona kuna Daudi mwngne unamsahau au zarau?Ngoja niwaite wakina daud wote tuwahoji Daud Augustine , Daud boni , Daud Chacha Matiku , daud chanila , daud cleophas ,daud donasian , Daud Francis , daud herman , Daud kadinde , Daud Kimanda
Daudi les sasa atakuwa anaitafuta Mkuranga kuelekea Dar kuukimbia Msala ?Ni muhimu kuwa karibu na watoto wetu na kuwaongoza hasa katika kile kipindi cha biological changes za mwili