Msaada: Matibabu kwa watumishi wa umma.

Msaada: Matibabu kwa watumishi wa umma.

Avictown

Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
98
Reaction score
56
Naomba mwongozo juu ya hili. Hivi kuna mwongozo unaozuia watumishi serikali sekta wa afya kutibiwa hospitali za binafsi? Mfano, mimi nimeumwa ghafla usiku na ni mtumishi serikalini katika zahanati mojawapo nchini, lakini nikaenda hospitali ya binafsi iliyokaribu na ninapoishi, daktari akadhibitisha naumwa akanipa ED ya siku 2. Ni halali bosi wangu kukataa hizo ED na kuniambia ni lazima zitolewe na hospitali ya serikali?
 
ED inayotambuliwa inatakiwa itolewe na daktari wa Hosp ya serikali tena ya wilaya unayofanyia kazi
 
Asante kwa shule. Kwa hiyo serikali haitambui hospitali binafsi? Au wale madaktari hawana viwango sawa na wa serikali? Kama una mwongozo au by laws unaosema hivyo naomba uniwekee hapa na Mimi nisome.
 
Mmmh ina maana unafanya kazi serikalin sekta ya afya hujui hata sheria na haki zako huko?mkataba ulisain fasta fasta tu kwa furaha ya kupata ajira bila kuusoma aiseeee
 
Asante kwa shule. Kwa hiyo serikali haitambui hospitali binafsi? Au wale madaktari hawana viwango sawa na wa serikali? Kama una mwongozo au by laws unaosema hivyo naomba uniwekee hapa na Mimi nisome.
ipo kwenye standing order mkuu ,tatfa sehem inayohusu ugonjwa,sick sheet should be filled by government's employed doctor.
 
Back
Top Bottom