Mtwara: Mwanafunzi kidato cha pili ajinyonga kisa mapenzi

Mtwara: Mwanafunzi kidato cha pili ajinyonga kisa mapenzi

Vituka

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2011
Posts
2,269
Reaction score
1,269
Naendelea kujifunza jinsi ya kuwa mama mwema kwa watoto wangu.
 
Familia za kiafrika zina matatizo sana.

Wewe baba na mama yake mnashindwa kumnyoosha mtoto mnamfukuzia kwa bibi yake,yeye ndiye aliyezaa huyo mtoto?kama nyie wazazi mmeshindwa kumkunja,kwa bibi ndio shimo la taka??
 
Wazazi tuwe tunawaombea watoto wetu jamani, naamini kila leo, kila mzazi akiwaombea watoto wake matukio haya yatapungua kama sio kuisha kabisaaa!! Shetani anatumia mianya mingi kuwapata watoto wetu hebu tuwe tunawaweka kwenye ulinzi wa Mungu, hakika atawafunika kwa akili zetu na nguvu zetu hatutaweza!!

Apumzike kwa amani.
You make me proud as always.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Mimi hata simuonei huruma aliye fark
mm namuhurumia Daudi........... dah nahsi anaweza kufunguliwa mashtaka ya kwamba alikua akijiushisha kimapenzi na mwanafunzi!! .
 
Japo ni huzuni lakini jamii ya Mtwara imeanza kujitambua kukabiliana na mimba za utotoni,
 
Marehemu kaandika hawezi kwenda mbali na Daudi halafu kaninyonga haoni ndio kajitenga mapema na daudi kwa Umbali mrefu na milele tena mapema
 
Shenzi kabisa marehemu Salma, eti wazazi wake wampende Daudi vinginevyo yeye hatajisikia vizuri! Kwahiyo hatajisikia vizuri huko kaburini au?!!! Yaani matoto haya, basi tu. Akionywa na mzazi wake inakuwa kosa.
Salma ni jinga kabisa
 
Hutu tutoto tunavyoingiaga kwenye mapenzi tunajiona tujaaanja dunia nzima yao na wazazi wanaojaribu kuwa weka kwenye mstari washamba tu hawaujui utamu wa dunia.
Hapana , hii kitu inaitwa Adolescent/Juvenile delinquency. Huu ni ugonjwa wa vurugu za maono kisaikologia unaowakumba watoto kwenye umri huu 10 to 18 years. Mzazi usipokuwa makini( kama wazai/walezi wa huyu mtoto) utampoteza mtoto forever ktk kila nyanja ya kimaisha. Mojawapo ya tiba ni ushauri nasaha, badala ya "kumfukuzia kwa bibi yake" kuishi huko porini
 
Wazazi tuwe karibu na watoto wetu jamani. Tujitahidi kuishi nao kwa "uongo wa kikubwa"!
 
Back
Top Bottom