Bitcoinbase
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 319
- 285
Kuna mambo mengi sana yananikwaza sana maishani mpaka nakosa amani na furaha ya moyo. Hakika ni mengi lakini hili ni zaidi
I hate / nachukia umasikini jamani
UMASIKINI. UMASKINI .UFUKARA. UFUKARA.
Hebu tusaidiane jamani kujikwamua ktk hili dimbwi.
Mwenye hisia Kali zakuuchukia umasikini anyonyeshe mkono tafadhali .. Tubadilishane mawazo