Kardinali Pengo: Maaskofu wamejuaje mambo ya siasa/ serikali? Kwani kuna njia zipi na ngapi za kujua jambo?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,329
6,447
Kardinali Pengo kuhoji wenzie wamejuaje masuala ya serikali kugandamiza uhuru wa watu kunazua swali juu ya namna ya kufahamu mambo, yaani, 'knowledge'. Hivi ni watu gani hao waliomfuata na kumuuliza maoni yake juu ya waraka ule na kumfanya aote ndoto za vitu vibaya?

Narudi kwenye mada, kwani yeye Kardinali Pengo anapoongelea mambo ya kijamii kwenye mahubiri yake huwa anatumia njia zipi kuyafahamu? Hayo mambo ya kiroho anatumia njia zipi kuyafahamu?

Waraka wa TEC unafanana na taarifa ya demokrasia duniani ya mwaka 2018 ya the Economist Intelligence Unit, pia unakaribiana na taarifa ya furaha duniani ya mwaka 2018.

Hivi sio wenzake wameongozwa na Roho Mtakatifu?

Hivi ukiota unachungulia kaburi (kwa maana ya kifo, kwani tunapozika tunachungulia kaburi) sio jambo jema ki-imani, kwani ndio njia ya kwenda mbinguni kama umetubu kabla ya kufa kwa mujibu wa mafundisho ya dini?

  • Thanks
Reactions: BAK

Angejituliza amaliziemaishayake kwa kristo
 
Unafiki na kujipendekeza! Tena uoga wamsumbua
Gwajima alimchana makavu watu wakasema alionewa sasa ona tena, kwangu mim Gwajima alikuwa sahihi kumchana.huyu mzee kuna siku ataibika kwa maneno yake yasio he kima.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwani hawasomi magazeti? Au magazeti ni ya wanasiasa tu? Mm sisomi magazeti tena maana yanapotosha sana sikuizi.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom