Ubaguzi katika ajira za wahudumu wa baa

Ubaguzi katika ajira za wahudumu wa baa

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,536
Reaction score
139,845
Ubaguzi katika kutoa ajira za wahudumu wa baa umeshamiri sana katika sehemu nyingi za starehe. Imekuwa nadra sana kumkuta baamed asiye na chura kubwa.

Baa nyingi zimejaa wahudumu waliofungaisha makalio makubwa makubwa maarufu kwa jina la chura au mizigo. Utafiti unaonyesha kuwa wanaume wengi hupenda kuhudumiwa vinywaji na wasichana wenye mizigo ndiyo sababu ya wamiliki kuajiri wahudumu wenye mizigo

Ushauri wangu kwa wamiliki kuacha mara moja ubaguzi huo kwani sio utaratibu mzuri hawa wadada wasio na mizigo mnataka waende wapi?
 
Makalio makubwa sahiv nidili mjini ukiwa na kalio ..uwezekano wakutoboa maisha unakuwa 70% hapa mjini ....Sahv Elimu sio kigezo kwa demu ...ila msingi nifiga.
 
Mzee baba hua tunaenda bar kwa mambo mengi

Kunawakat tunatoa stress kwa kunywa na kushangaa figure na sura za watoto wazuri

Kama bar yako haina wahudumu wakuvutia apo jua hakuna biashara
 
Makalio makubwa sahiv nidili mjini ukiwa na kalio ..uwezekano wakutoboa maisha unakuwa 70% hapa mjini ....Sahv Elimu sio kigezo kwa demu ...ila msingi nifiga.
Cc wema sepetu
 
Nenda utumishi na kalio lako wakupe ajira.
 
Ubaguzi katika kutoa ajira za wahudumu wa baa umeshamiri sana katika sehemu nyingi za starehe. Imekuwa nadra sana kumkuta baamed asiye na chura kubwa.

Baa nyingi zimejaa wahudumu waliofungaisha makalio makubwa makubwa maarufu kwa jina la chura au mizigo. Utafiti unaonyesha kuwa wanaume wengi hupenda kuhudumiwa vinywaji na wasichana wenye mizigo ndiyo sababu ya wamiliki kuajiri wahudumu wenye mizigo

Ushauri wangu kwa wamiliki kuacha mara moja ubaguzi huo kwani sio utaratibu mzuri hawa wadada wasio na mizigo mnataka waende wapi?
Nenda ukafanye tena tafit kisha utuletee zilizo sahihi.
 
Ubaguzi katika kutoa ajira za wahudumu wa baa umeshamiri sana katika sehemu nyingi za starehe. Imekuwa nadra sana kumkuta baamed asiye na chura kubwa.

Baa nyingi zimejaa wahudumu waliofungaisha makalio makubwa makubwa maarufu kwa jina la chura au mizigo. Utafiti unaonyesha kuwa wanaume wengi hupenda kuhudumiwa vinywaji na wasichana wenye mizigo ndiyo sababu ya wamiliki kuajiri wahudumu wenye mizigo

Ushauri wangu kwa wamiliki kuacha mara moja ubaguzi huo kwani sio utaratibu mzuri hawa wadada wasio na mizigo mnataka waende wapi?
Mkuu fungua Bar yako kisha waajiri vimbaumbau na waliopigwa pasi tu,
Ushavumbua fursa hapo.
 
Back
Top Bottom