Makylina
Senior Member
- Dec 15, 2014
- 145
- 59
Habari waungwana!. Mi ni mwenyeji wa mbeya yaan kwa sasa naishi mbeya mjini hapa.
Nimetokea kupenda kuishi Mtwara au Lindi kwa miaka mingi sana,nataman kuishi katika moja ya vijiji vilivyopo pembezoni mwa mikoa hii. Kifupi napenda sana na nimedhamilia kufanikisha hili.
Naombeni ushauri kijiji kipi ni kizuri kilichopo mtwara au Lindi kwa vigezo vifuatavyo:
1. Umeme uwepo
2. Network kwa mtandao wowote
3. Shughuri za kiuchumi(kilimo au ufugaji)
4. Gharama za maisha
Mi nimejiajiri na ninajishuhurisha na kutoa huduma za kifedha kwenye mtandao yaani mpesa,tigopes na Airtel money. Pia huwa nauza vocha na bidhaa za majumbani yaan duka hivyo nahamisha biashara hii huko niendako either mtwara au Lindi.
Asanteni sana