Acha bangiDuh
Wale wa magari wawekewe alama aisee atuchelewi kusikia ndugu zetu, watanzania wenzetu wamebebwa na maji.
Poleni sana wahanga
Daraja la kirumi ni Suspension Bridge.Barabara pekee ya lami kuiungia Tarime haipo tena.Hii ni baada ya mvua kubwa iliyo nyesha majira ya 3 asubuhi kusomba daraja la Kirumi.View attachment 730949
Leo ni tarehe 1 AprilSaa 3 asbh ya leo? Hebu jariu kuandika habari ya kueleweka saa ni saa moja asbh au tusubiri saa 3 inyeshe ndo litasombwa?