Dr Guitar tz
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 312
- 247
Tangu asubuhi Leo hatuna power hadi Saa hii.wiki tatu zote hizi tangu kuanze Mvua Umeme ni wa kubahatisha mno mchana...
Saa hii tukio gizani,kibaya kwenu huwa hamsemi tatizo Na hamsemi muda wa kurudishwa.
Saa hii tukio gizani,kibaya kwenu huwa hamsemi tatizo Na hamsemi muda wa kurudishwa.