Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimejaribu kupitia hoja moja baada ya nyingine kati ya zile zilizotolewa na baadhi ya wanasiasa hasa wale niliokuwa naamini watakuwa 'objective' na sio 'subjective' yaani wale wachache walioenda...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hamjambo waungwana? Mimi ni muajiriwa serikalini, mwezi wa kwanza nilikopa pesa katika taasisi fulani kiasi cha milioni sita na pointi kadhaa, ambapo riba/ marejesho kwa miaka mitano ni milioni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
1 Reactions
2 Replies
581 Views
Niliwahi Sema Steve Kanumba aliondoka na bongo movie Ktk tuzo za Leo imedhihirika,hivi ni Nani aliyetegemea katika tuzo zenye hadhi kama hii kuyakosa majina ya nguli tuliowazoea wa filamu nchini...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Habari za majukumu wana-Jf,. Hapa nazungumzia mikoa ya Ruvuma, Lindi na Mtwara,. Siyo jambo la siri mikoa hii ipo nyuma sana kimaendeleo au naweza kusema imesahaulika katika sura ya nchi...
1 Reactions
146 Replies
18K Views
Najaribu kutafakari mwenendo wa Siasa za matusi na kejeli,mwenendo wa Siasa za kutishana na Mwenendo wa siasa zisizokuwa na amani kabisa uhuru kuminywa bila sababu za msingi.Wakati nawaza haya...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Kuna afande hapa anataka kuniandikia faini kisa kamkuta mwanamama amevaa seat belt. Naomba wajuzi mnijuze sheria inasemaje.
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Hello JF, Najua mnalipa bima etc kwenye magari yenu, na wazo la kuwatoa pesa hata kama kidogo mtalipinga lakini nimelileta tudiscuss.... Nilikua nawaza wange introduce charge za kutumia barabara...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Hizi ni salamu za pasaka kutoka kwangu binafsi na kwa familia yangu pia , sikutaka kuweka unafiki wa kumtakia heri binadamu yeyote tu ili mradi ni Mtanzania , La hasha ! ndio maana nimewachagua...
19 Reactions
47 Replies
5K Views
Watu wasiojulikana wamemuua Mhasibu wa Tume ya ushindani nchini (FCC) Bw.Alex Malata na kumtupa baharini eneo la daraja la Nyerere jinini Dar. Alex alipigiwa simu juzi akiwa nyumbani kwake Gongo...
3 Reactions
114 Replies
22K Views
Wakuu habari. Leo naleta maafa ya hela ya bodi. Tukumbushane matumizi yake maana makato haya yanauma mno. Asilimia kumi na tano ngweeee. Yaani mimi nakumbuka nilinunua makorokoro nya ajabu ajabu...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Ndugu wanabodi, Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu kuhusu vita ya UFISADI, lakini kiukweli sioni kama JPM yupo serious. Hebu angalia jinsi kila kitu kilivyo wazi juu ya waliotufikisha hapa...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Salam, Kuna video fupi(clips) zinazotembea sana kwenye mitandao ya kijamii ya hiki kipindi cha Penyeye za Kitaa. Baada ya kuona videos kadhaa ilibidi nikitafute youtube ili kujionea zaidi. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Najiuliza kwanini pasaka kila mwaka inakuwa na tarehe yake? Na kwanini pasaka ya leo wasinge itenganisha na siku kuu ya wajinga. Ili kuipa pasaka uzito? Kwasababu leo watu wengi kila kitu...
1 Reactions
104 Replies
15K Views
Raisi wa Tanzania marakadhaa amekuwa akisisitiza sana Watanzania tudumishe AMANI,wanasiasa , viongozi wa dini, wananchi wa kawaida, wote wanasisitiza AMANI.yamkini hapa kunatatizo linalopelekea...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwaka 2015 ulikuwa na raha za aina yake hasa wakati wa kampeni za Urais. ITV ilikuwa na maripota wawili nguli Emmanuel Buhohela akiripoti kampeni za Rais Magufuli na CCM huku Spencer Lameck...
4 Reactions
11 Replies
5K Views
Nimejalibu kuchunguza tabia za mbongo,ukimwomba mtu msamaha ndiyo anapata mzuka wa kukutupia lawama,hii tabia inasikitisha ndo maana wengine huwa hatuombi msamaha pale tunapokosea!! Je kuna...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari za blue Monday wanajamvi! Naenda kwenye mada, nikiwa kama mwanafunzi wa kawaida kabisa katika shule yetu iliyopo huku kijijini nashangazwa sana na huyu kiongozi wetu wa shule; amekua sio...
14 Reactions
86 Replies
7K Views
Kama uwezekano upo basi ningeomba siku kama ya leo 01/04 ifutwe kabisa. Leo mida ya saa 1asubihi nikiwa nyumbani nilisikia simu ikiita kuangalia kaka yangu kanipigia akaniambia kuwa baba mdogo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…