Napendekeza ianzishwe kodi ya kutumia barabara zenye foleni kubwa na itumike kujenga flyover

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,840
31,589
Hello JF,

Najua mnalipa bima etc kwenye magari yenu, na wazo la kuwatoa pesa hata kama kidogo mtalipinga lakini nimelileta tudiscuss....

Nilikua nawaza wange introduce charge za kutumia barabara zile zinakuwaga busy sana kushinda barabara nyingine.

Hili litawafanya watafute alternative Road and by doing so, tatizo la msongamano litaisha taratibu Dar es salaam

Hiyo hela itakayopatikana kutokana na hizo charges ijenge ma flyover :D:D:D:D:p:p:p:p:p

Ww nawe sijui umetumwa? Makodi yote haya hayawatoshi tu? Alternative ni kujenga barabara nyingi za mitaani zitokezee barabara kubwa, mfano badala ya kutoka mbagala kwenda ukonga upitie tazara au tandika, iwepo barabara ya mbagala kutokezea banana
 
sorry ati unasemaje? hivi mkuu umefikiria unachokiandika lakini au? hivi kwa mfano mimi naishi nje ya mji huku chanika halafu nafanyia shughuli zangu mbezi au tegeta au njia pekee ni nyerere road lets say nyerere road ndio iko busy muda wote hapo alternative road itakuwa wapi kma sio njia ya mbagala so kwa distance hiyo ya chanika-mvuti-mbande(chamazi)mbagala-temeke-buguruni-ubungo-mwenge... hivi chief huko serious kweli katika hilo au unataka tuongezee ugumu.. na hizo charge ni kwa magari yote au?
hii chai ya moto
 
mmnh sijatumwa,yaani unataka barabara nyingi za mitaani zitokezee bara bara kubwa,mkuu unatania au?mitaa hii ambayo imejengwa kiholela,hakuna mpangilio ?!
 
Ili upunguze Foleni u introduce charges wapi na wapi?
Alternative ni kwamba barabara ziongezeke zaidi kuliko wingi wa magari
Full stop.
 
hello JF,

Najua mnalipa bima etc kwenye magari yenu,na wazo la kuwatoa pesa hata kama kidogo mtalipinga.....lakini nimelileta tudiscuss....

Nilikua nawaza wange introduce charge za kutumia barabara zile zinakuwaga busy sana kushinda barabara nyingine......

hili litawafanya watafute alternative Road...............and by doing so,tatizo la msongamano litaisha taratibu Dareslaam

Hio hela itakayopatikana kutokana na hizo charges ijenge ma flyover :D:D:D:D:p:p:p:p:p

Wazo zuri.
Japan nimefika na kushuhudia, kuna barabara unalipia electronic road toll.
 
sorry ati unasemaje? hivi mkuu umefikiria unachokiandika lakini au? hivi kwa mfano mimi naishi nje ya mji huku chanika halafu nafanyia shughuli zangu mbezi au tegeta au njia pekee ni nyerere road lets say nyerere road ndio iko busy muda wote hapo alternative road itakuwa wapi kma sio njia ya mbagala so kwa distance hiyo ya chanika-mvuti-mbande(chamazi)mbagala-temeke-buguruni-ubungo-mwenge... hivi chief huko serious kweli katika hilo au unataka tuongezee ugumu.. na hizo charge ni kwa magari yote au?
hii chai ya moto

Mkuu I believe every road kuna alternative route.....kama unataka short distance pita kwenye barabara ambazo ziko busy at a fee........wengi naona mnang'ang'ania zijengwe barabara nyingi,hela itoke wapi.....hili wazo nimefikiria slowly tunapunguza tatizo la msongamano na hela itakayopatikana itumike kuimprove Tanzania transportation system
 
Katika ukoo wangu waliomiliki magari mpaka muda huu naandika wako watatu, mmoja anamiliki mark 2 grande, mwingine ist na wa mwisho fuso, kwa hili wazo lako naona wakibaki hao hao tu.
 
Katika ukoo wangu waliomiliki magari mpaka muda huu naandika wako watatu, mmoja anamiliki mark 2 grande, mwingine ist na wa mwisho fuso, kwa hili wazo lako naona wakibaki hao hao tu.

charge sio kubwa mkuu,ni kama hela ya mkate usiogope....:p:p
 
Siishi Dar, ila mkiweka huo upuuzi nitakua nakuja na basi japo nitataabika kwenye town trip.
Huu uzi ningekuomba uwasiliane na mod waufute kabla mabashite hayajauona na yakauanzishia mchakato.
 
Mkuu I believe every road kuna alternative route.....kama unataka short distance pita kwenye barabara ambazo ziko busy at a fee........wengi naona mnang'ang'ania zijengwe barabara nyingi,hela itoke wapi.....hili wazo nimefikiria slowly tunapunguza tatizo la msongamano na hela itakayopatikana itumike kuimprove Tanzania transportation system
kwa uchumi gani tuanze kulipia kila barabara ambayo iko busy wenye magari si watauza magari yao sasa... wazo zuri kwa njia zilizopiga hatua kimaendeleo sio Tz
 
kwa uchumi gani tuanze kulipia kila barabara ambayo iko busy wenye magari si watauza magari yao sasa... wazo zuri kwa njia zilizopiga hatua kimaendeleo sio Tz

mmmmmmmmnhhhhhhh hii ni kwa busiest roads sio kila barabara,na hayo ndio maendeleo ya nchi,nchi ikiwa na good infrastructures then uchumi nao ni mzuri,hatuwezi tukakaa tukiangalia wenzetu wakiendelea na sisi tunabaki kuwatazama tu...
 
SIISHI DAR, ILA MKIWEKA HUO UPUUZI NITAKUA NAKUJA NA BASI JAPO NITATAABIKA KWENYE TOWN TRIP.
HUU UZI NINGEKUOMBA UWASILIANE NA MOD WAUFUTE KABLA MABASHITE HAYAJAUONA NA YAKAUANZISHIA MCHAKATO.

huu uzi hautolewi,njoo tudiscuss your fears,kama una hoja strong hawataanzisha na kama wanaona linafaa then walibebe...
 
Nchi yetu ina vyanzo vingi sana vya mapato tukikaa kufikiria kodi ni kuzidi kumuongezea mwanainchi wa chini maisha magumu.
 
We dada sio mzima upstairs na kama ni mzima uko kwenye lile kundi wanaojiita wazalendo wakati nyuma ya pazia wananunua watu wa kuwaunga mkono.
 
Back
Top Bottom