Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa mujibu wa uislamu ni marufuku kwa sababu hayo ni mapambo ya wanawake.. Na hata katika mazingira tuliyonayo ukiona mwanaume anapenda urembo urembo na madhahabu huyo mwisho wake ni ushoga... ...
6 Reactions
23 Replies
5K Views
Do not trust anybody concerning with your children, whether, your neighbors, friends, remedial teachers, relatives, or housemaids, make regular follow-up, monitor your child. There are many cases...
0 Reactions
1 Replies
622 Views
Naimani jioni ni njema kwenu wanajukwaa!!! Kero yangu inatokana na utumbuaji uliofanywa na Dr. Laurian ndumbaro kwa maafisa utumishi wa halmashauri ya wilaya ya Kwimba.kinachonikera si suala la...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Inna lillah wa ina illah rajiun, Mhe mbunge wa Gairo kafiwa na binti yake mkubwa jana jioni. Mazishi yatafanyika mchana huu mara baada ya Swalat dhuhur katika makaburi ya Kisutu. Poleni sana...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Watu kadhaa wamejeruhiwa baada ya basi la Shabby Line (T 605 DJR) lililokuwa likielekea Dodoma kutoka Dar es Salaam kugongana na Toyota Coaster (T 428 BGM) eneo la Mbala mkoani Pwani. Chanzo cha...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Salamu wakuu. Sasa ni dhahiri Mungu amesimama na wanaoonewa ktk nchi yao. Amewasikia vilio vyao. Anajibu. Mungu ni wa uweza wa juu zaidi. Kampa jiwe ndimi mbili, kamnyang'anya kumbukumbu. Jiwe...
16 Reactions
50 Replies
5K Views
Kama Mtanzania na kama raia wengine wa taifa hili ninayo haki kikatiba ya kutoa maoni kuhusu jambo lolote linalohusu jamii yangu kwa maslahi mapana ya taifa. Kwa hivyo basi, napenda kuchukua...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kenya imewalipa fidia wafugaji waliopoteza ng'ombe baada ya serikali ya Tanzania kuwakamata na kuwapiga mnada kwa madai kuwa walivuka mpaka na kuingia Tanzania na hivyo kukiuka sheria za mipaka...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hapo ndo wachumi wanasema scale of preference.
2 Reactions
24 Replies
3K Views
watu wa ardhi naombeni msaada ni kweli tunaoishi karibu na msitu wa pugu upande wa ilala tumevamia msitu, nasikia baadhi ya watu wanadai serikali itatuondoa muda wowote, najaribu kuuliza maafsa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salamu zenu tigo. Aiseee tigo muna boa kweli yaani sasa hivi hizi sms zenu zimekuwa offside sasa maana yake kila muda ni bonus hata kama mtu hataki bado mnakandamiza hivyo hivyo atake asitake...
1 Reactions
5 Replies
946 Views
Kwenu enyi wajuzi wa mambo. Naomba kujuzwa je ni sahihi kwa wanajeshi kuvuta bangi hadharani wakishirikiana na raia? tangu pazuke kinachoitwa vita dhidi ya ugaidi hasa maeneo ya pwani humu...
0 Reactions
68 Replies
10K Views
Ni njaaa Ushambaaa Ujingaaaa Kutokufikiriaa Tamaaa Au kujiendekeza... inakuaje mwanamke hata vocha unashindwa kujinunulia!? Nakuita sehem tuonane hata nauli huna!? Jaman nauli ya mwendo kas tu...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Naomba tujulishane namna ya kudhibiti wawangaji, maana wanasumbua kweli kweli. Karibuni.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habarini Wakuu! Kwanza kabisa naomba Mods msiufute uzi huu kwani mmekuwa waonevu sana kila nnapoanzisha uzi mnautokomeza 'kusikojulikana'. Wakati wa Awamu ya Nne kama mtakumbuka walio wengi...
0 Reactions
2 Replies
672 Views
Huyu Dingi Yao Kama anajua Anapendwa Kwanini Anakataa Kuendeleza katiba Mpya ya Warioba...!! Kwanini CCM na Genge Lao Ukiwaambia kuhusu katiba Mpya wanatukana matusi na kutamani kukuua kabisa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kenya wanatumia nguzo za Zege na zinadumu kwa miaka mingi. Hivi ni kwanini Tanzania tunaendekeza kutumia nguzo za miti tu badala ya kuchanganya ili kuhamasisha viwanda vya nguzo za zege pia...
6 Reactions
66 Replies
13K Views
Hii kauli sikumbuki ilitolewa wapi lakini ni huko morogoro na askofu mmoja Kama sisi sio sauti ya Mungu labda anae mungu wake mwingine anaemsikiliza Ni kauli nzito sana hii sina uhakika kama...
1 Reactions
1 Replies
810 Views
Sasa imeongezeka maana ya donor country. Mwanzo ilikuwa Tanzania ilitakiwa kuwa a donor country, sasa Tanzania imekuwa a donor country tangu awamu ya kwanza. Je, ipi ni maana halisi ya a donor...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…