Waandalie na picha kabisaaaNi mapambo ya kike ishu sio hela
HahaMbona kofia na tisheti za cccm mnaIvaaga ...wakati Uislam unazuia kuvaa tisheti yenye kichwa cha mtu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hapo umegonga ikuluMbona kofia na tisheti za cccm mnaIvaaga ...wakati Uislam unazuia kuvaa tisheti yenye kichwa cha mtu
Kwa mujibu wa uislamu ni marufuku kwa sababu hayo ni mapambo ya wanawake..
Na hata katika mazingira tuliyonayo ukiona mwanaume anapenda urembo urembo na madhahabu huyo mwisho wake ni ushoga...
...
Usiende nje ya madaMbona kofia na tisheti za cccm mnaIvaaga ...wakati Uislam unazuia kuvaa tisheti yenye kichwa cha mtu
Huyo aliyevaa mavazi ya haririri na dhahabuPicha ya nn?