Tetesi: Ni kweli jumla ya gharama ya vita vya Kagera 1978 ilikuwa ni tsh 500?

Ukaridayo

JF-Expert Member
Oct 8, 2012
507
469
Sikutaka kuamini kwakuwa nilikuwa bado sijazaliwa...

But nikataka kujifunza na kujua zaidi kutoka kwenu mana najua zipo pipo ambazo humu JF zilikuwa zimeshaliona jua, labda wao wanaweza kutuelezea hili kwa kina pamoja na wale wenye uzoefu ktk mambo ya historia ya uchumi wa taifa letu.

Nimesukumwa kulileta hili mana ktk miaka hiyo ya nyuma sikumbuki haswa ni mwaka gani "specific" but nakumbuka bajeti ya taifa zima ilishawahi kuwa 20,000/Tsh ya enzi hizo.
Hili la 500Tsh ilivyoendesha vita ya kagera daah.... Hebu fungukeni.
 
Gharama ya vita Vya Kagera ilikuwa ni USD 400m. Baada ya vita hazina ikawa haina kitu kabisaaaaa
 
Duu sijazaliwa miaka hiyo ila pia Gharama ya vita hauwezi ikawa ni sh 500
 
Hakuna kitu kama hicho; mshahara tu wa rais nasikia ilikuwa kama elfu sita
 
The cost of the Kagera War By the end of the 1978/9 conflict, Tanzania had spent over $500 million (Sh 1,200,000,000) and lost 373 soldiers.
Mkuu bajet ya mwaka huo ilikuwa kiasi gan???!,nadhani ni hela mrefu saana kwa wakati huo na wakati huu!!,

Rate ya dollar kwa wakati huo ilikuwa kiasi gan!!?,na

Je tuna deni sehem yoyote kuhusiana na iyo Vita??..

Nan walikuwa upande wetu kwenye hiyo Vita maana kuna maelezo kuwa tulikuwa tunasaidiwa Intel na Uingeleza na CIA sababu walikuwa hataki IDI Amin sababu ya kutaka kuifanya Uganda iwe ya kiislma
 
The cost of the Kagera War By the end of the 1978/9 conflict, Tanzania had spent over $500 million (Sh 1,200,000,000) and lost 373 soldiers.

(Lost 373 soldiers) wakati huo wanajeshi waliopigana vita wakiwa wangapi? Maana naona kama 373 ni wanajeshi waliopo wilaya moja tu Hapo Kagera....
 
Umejichanganya bwana
Ni $500ml
Ukumbuke kuwa vita huivuruga bajeti
Hapo hakuna cha bajeti wala nini,
Pia wananchi walijikamua vyakutosha sana,
Wengi walichangia pesa na vyakula.
Linapo ingia swala la vita hakuna mambo ya Bajeti tena kila kitu huenda hovyo hovyo
Ndio maana vita ile ilituumiza sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom