Waziri Mkuu ataja mikoa inayoongoza kwa utoro mashuleni

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Waziri mkuu kassim majaliwa wakati akizungumza wakati wa uzinduzi wa mbio za mwenge mkoani geita ametaja mikoa ambayo inayoongoza kwa utoro level ya primary na secondary .

1.TABORA

2.GEITA

3.SHINYANGA

4.MTWARA

5.SINGIDA

6.SIMIYU

lakini mwisho aliwahimiza wazazi kuwahimiza watoto wao kuhusu umuhimu wa kwenda shuleni

Chanzo: Mwananchi

Je, tatizo ni nini ndugu zangu tunaotokea mikoa haswa ya Tabora, Geita na Shinyanga maana ndio tumeongoza kwa utoro.
 
By implication ukiitaja Geita na Mwanza ipo ndani! Conclusion wasukuma na wanyamwezi hawapendi shule! Hawa watani zangu ni mawili aidha wanasoma kwa bahati mabaya au tunawalazimisha. Paskali Mayala tafadhali toa ufafanuzi!!
 
Duu aiseee sijui kuna tatizo gani
 
Waziri mkuu kassim majaliwa wakati akizungumza wakati wa uzinduzi wa mbio za mwenge mkoani geita ametaja mikoa ambayo inayoongoza kwa utoro level ya primary na secondary .

1.TABORA

2.GEITA

3.SHINYANGA

4.MTWARA

5.SINGIDA

6.SIMIYU

lakini mwisho aliwahimiza wazazi kuwahimiza watoto wao kuhusu umuhimu wa kwenda shuleni

Source ni mwananchi magazine.

Je tatizo ni nini ndugu zangu tunaotokea mikoa haswa ya tabora geita na shinyanga maana ndio tumeongoza kwa utoro
Tuletee na ufaulu wa hiyo mikoa kabla ya kuendelea na mjadala!
 
By implication ukiitaja Geita na Mwanza ipo ndani! Conclusion wasukuma na wanyamwezi hawapendi shule! Hawa watani zangu ni mawili aidha wanasoma kwa bahati mabaya au tunawalazimisha. Paskali Mayala tafadhali toa ufafanuzi!!
Hebu tuleteeni na position zao za ufaulku kabla ya kuendelea na mjadala.
 
Issue siyo ufaulu. Ni mwamko wa elimu katika hiyo mikoa. Compare and Contrast na mkoa kama Kilimanjaro. Take into consideration kuwa mikoa hiyo ni one third ya population ya Tanzania. Samahani kwa kuchanganya lugha!
 
Back
Top Bottom