Maisha ni nini? Binadamu anataka nini?

Maisha ni nini? Binadamu anataka nini?

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
12,280
Reaction score
23,439
Kuna mambo yanafikilisha na kuchanganya kabisa!
Unapojutia kuwa nacho mwenzako anatamani awe kama wewe!
#. Polisi anatamani ungekuwa banker, banker anatamani kuwa mfanya biashara,# mfanyabiadhara anatamani kuwa msanii................
Dc anatamani kuwa kamishina, kamishina anatamani ungekuwa mbunge.
[HASHTAG]#mbunge[/HASHTAG] anatamani kuwa waziri, waziri anatamani kuwa balozi,.......
Raia anatamani awe mbunge, mbunge anatamani awe mkurugenzi, mkurugenzi anatamani awe Rc,....
Rc anatamani Ubunge, mbunge anatamani awe Rais, na Rais anatamani awe IGP......
IGP anatamani kuwa ASKOFU..

Mke anatamani angekuwa yeye ndo Mme, mme anatamani asingekuwa na mke.

Polisi inatamani ingekuwa mahakama, jaji anatamani angekuwa RAIS, Rais anatamani angekuwa ASKOFU .n.k
==================
LAITI KAMA KILA MWANADAMU ANGEAMUA KUITENDEA HAKI NAFASI ALIYONAYO TUNGEFIKA MBALI SANA!!!!!
== kwanini sie wanadamu hatueleweki tunataka mini?==
 
Ndiyo maana Paulo anasema hatupati tuombayo kwani twaomba vibaya,tena tunaomba ili tutumie vibaya.
Kila mtu anapaswa kuomba zaidi ufahamu wa kusudi la kuumbwa kwake,kimsingi kabisa huwa sina taabu na vitu ninavyojua kuwa nikipata sitaviweza.
 
Kwamba Mengi anatamami kua Msanii (Mzee Muhogo Mchungu) hahah big no aisee.
 
Magufuli anatamani kuwa lowasa
Pole polee anatamani kuwa kinana
Bashite anatamani kuwa waziri wa mambo ya ndani.
 
Hilo swali la kuwa binadamu anataka nini halitapata majibu hata mwisho wa dunia,ni sawa na kuuliza: What is the purpose of life?
 
sijui Kama nin tamaa.
labda wenzangu waje waseme wanatamaa gani,
 
Kusudi la maisha ni kuwa Na furaha, amani, afya, upendo. Kimoja kikikosekana ni vita
Mkuu umejaribu kujibu vizuri!!.....Mimi nashangaa watu huwa wananiuliza:umeshaoa?umeshanunua kiwanja? umeshajenga?umeshanunua gari? lakini hakuna mtu hata mmoja ambae aliwahi kuniuliza kama nina furahaa!!
 
Nilipoonja maisha ya ajira, niliona ni michosho na kupotezeana muda tu, licha ya kuwa bosi wangu wa karibu na hata wakurugenzi walinipongeza sana ya kwamba mi ni mchapakazi, lakini niliamua kuacha kazi OVERNIGHT WITHOUT BEING FORCED... PURPOSELY I JUST WANNA BE FREE NA HII NDIYO FURAHA YANGU YA MILELE
 
Back
Top Bottom