monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,887
- 13,644
Asalaam alekyum ndugu zangu ktk iman
Naomba nisiwachoshe sana,ujumbe muhimu nilionao kwenu ninyi ni huu;
Kila m2 ajitahdi kuwa na nakala ya vyeti vya kuzaliwa vya Wazazi wake,Babu zake na Babu wa Babu zake
Baada ya kuwa na documents hizo nyeti kuliko nyeti tulizonazo hakikisha unakuwa pia na cheti chako cha kuzaliwa
Baada ya hapo nenda migration/immigration offices iliwakwembie ww ni raia wa wapi,kwa mfano 'Nana Abdulrahman alipotaka kuingia kwenye kinyang'anyiro cha urais 2015 aliambiwa kuwa yeye ni Msomali,Zitto alishawahi kuambiwa na policcm kuwa yeye ni RAIA wa Rwanda, the list goes on...
Wazee,kila Mtanzania kumbe ana kwao tofauti na Tz
Kwa ujumbe huu niliowapeni naomba mnilipe Tsh 26,042,018