Usiku wa vitasa Azam tv live mbona mabondia wanawatukana wanawake

mdundo ngoma sana

JF-Expert Member
Jan 2, 2016
1,002
954
Ndugu zangu mabondia,mwanamke hatakiwi kutukanwa,anatakiwa athaminiwe kwa kuijaza dunia kupitia matumbo yao.Hivi kwa nini adhihakiwe,nimemuona mada mahugo,akimfananishe bondia mwenziye na mwanamke,pia bondia mbelwa kamfananishe bondia mwenzake kama mwanamke pia.Tafadhalini ngumi zimepoteza hadhi nchini kwa mengi,kwani watu wenye hekima zao wameuona ni mchezo wa wahuni,wavuta bangi,mateja na watu walioshindikana.Azam kuwapa fursa tayari mmeanza kuzingua.Tumieni fursa laa sivyo sisi tunajiendea kubet kwenye football.
 
Mbona trash talks ni kawaida sanaa katika boxing..hujawai kumsikia Wilder akitema mbovu mzee baba
 
Mbona humu wapo wengi tu wana tabia hiyo hiyo?
 
mtoa mada mwenyew tunda la apple tena au ww ni rainbow
 
Back
Top Bottom