NASISI TULIOKO HUKU TUTAWEZA KWELI?

Antony Abel

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
264
142
Kwa muda mrefu nimekuwa mpenzi msomaji pasipo kuelewa ni kipi kinacho endelea.

Zikiwa zimesalia siku 18 tu kufikia siku ya tukio, naomba kueleweshwa yafuatayo.

Tarehe 26/04/ nisiku ya mapinduz lakn pia inasemekana ndio siku iliyo chaguliwa na wapinzan kwa ajiri ya maandamano.

Je haya maandamano yatafanyika nchi nzima au ni DAR ES SAALAM tu?

Na kama ni nchi nzima ni mjini tu au hadi vijijini?

Na kama hadi vijijini mabango yetu tunayaelekeza kwa nani ikiwa kero zetu tu ndogondogo hazitatuliwi na viongozi wetu?
 
we tulia utapewa maelekezo soon
 
Nani Aliyekwambia ni siku iliyochaguliwa na wapinzani? Ni mpinzani gani aliyetangaza haya? Alitangaza wapi na lini? By the way acha uchochezi
 
Back
Top Bottom