Kuuwawa sindokufa au bado una hangoverNmefungua channel ya EATV nmeona kibendera kimeandikwa Happy Karume Day. Najiuliza wanamaanisha nn as leo ni siku ya kuuwawa kwake.
happy mkuu wa Zanzibar wamekombolewa mara ya piliSo hyo ni happy day
kwani siku ya Leo sini Holiday yakitaifa ...ambayo inaitwa Karume day ....sasa mtu akisema happy karume day anakuwa amekosea wapi?So hyo ni happy day
Naona unafananisha Union day na karume dayhappy mkuu wa Zanzibar wamekombolewa mara ya pili
Namaanisha wenyewe wanasema karume ni mmalawi kwa hiyo wa Zanzibar asilia wako happyNaona unafananisha Union day na karume day
Union day ni Muungano wa Zanzibar na Tanganyika
Karume day ni ...ni siku aliyokufa mwasisi wa Taifa la Zanzibar
Then tarh 12/01....ndo inaitwa revolution day ...siku Zanzibar ilipofanya mapinduzi.
A grain must die...!Nmefungua channel ya EATV nmeona kibendera kimeandikwa Happy Karume Day. Najiuliza wanamaanisha nn as leo ni siku ya kuuwawa kwake.
Umemaliza.Mkuu achana na tafsiri sisisi
Duh...!Namaanisha wenyewe wanasema karume ni mmalawi kwa hiyo wa Zanzibar asilia wako happy
Yule dingi ndo alimuua!mwenye mustach km chale chaplinWanasheherekea kumuua Mzee wa watu
Mzee kwangu mm nahisi ilipaswa kuwa siku ya huzuni kukumbuka kifo cha mzee wetu..wewe upande wako unaonaje?kwani siku ya Leo sini Holiday yakitaifa ...ambayo inaitwa Karume day ....sasa mtu akisema happy karume day anakuwa amekosea wapi?
Kwani...mtu akifa ni sini sherhe nayrnyewe ...ndo watu awaendi kazin siku alipokufa karume wanashinda club wakiinjoy.Namaanisha wenyewe wanasema karume ni mmalawi kwa hiyo wa Zanzibar asilia wako happy
Umesema weweYule dingi ndo alimuua!mwenye mustach km chale chaplin