Kuvunjwa kwa sanamu ya hayati Mwalimu Julius Nyerere jijini Mwanza

PAZIA 3

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
1,074
1,857
Huwa sielewi mantiki ya kuvunjwa kwa sanamu ya hayati,kipenzi chetu mwal JK Nyerere mkabara na jengo la CCM mwanza,nataka kumjua aliyependekeza kuvunjwa kwa sanamu ile,maana ilikuwa anachochea utalii,mwenye kumbukumbu na sababu za kuvunjwa,anijuze
 
Lazima kuna sababu maalum!
Serikali hii iko makini sana!
 
sababu niliosikia ni kuwa sanamu lilikosewa halikuwa likifanana na mwl
 
Back
Top Bottom