Mwakasege: Mtu aliyepungukiwa na akili huwaonea watu, lazima ujue namna ya kuipata haki yako

Wakianza kusema watu hawa kuwa makini na mambo yako. ujue mambo yamefika shingoni. Mwakasege yupo makini sana na mafundisho yake na mara nyingi anaepuka siasa. Kufikia hapa ujue its toooooooo much.
unahusanishaje kauli hii na siasa?
 
Mtumishi wa Mungu asinukuliwe na maneno ya kiuchochezi bali anukuliwe maneno ya maadili mema ili tuishi kwa amani na kwa upendo Ili kumpendeza Muumba watu.... mbona hamnukuu maneno ya kujenga?
 
Biblia bwana, inajibu hoja zoooote hata ambazo hujaziwaza. Tuzungu fulani huko Ujerumani tuliamka mwaka 2009 kusema eti wamegundua kuwa unywaji wa glasi moja ya wine unaongeza siku zako za kuishi...loh, kumbe the same Mtume Paulo alimwandikia Timotheo kuhusu afya yake miaka elfu kadhaa iliyopita...raha!
 
Kazi kweli kweli kama hata huyu kaanza kuongea ujue sasa vita ya kisaikolojia imeanza jambo ambalo linaweza kupelekea kuwa na maamuzi tata sana, yetu dua tu.
 
Mtumishi wa Mungu asinukuliwe na maneno ya kiuchochezi bali anukuliwe maneno ya maadili mema ili tuishi kwa amani na kwa upendo Ili kumpendeza Muumba watu.... mbona hamnukuu maneno ya kujenga?
Kwani hapo kuna maneno ya kubomoa ametamka?
 
Back
Top Bottom