Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Graduates wa kitanzania tujifunze. Ada ya masters tunazolipa kila mwaka Mzumbe na UDSM bora tujengee tu. Dunia ya kibepari inataka kazi, haitaki vyeti labda Serikalini tu. Kuwa Mkurugenzi...
7 Reactions
75 Replies
9K Views
Habari Wakuu wa Jukwaa Hili. Tumshukuru Mungu kwakuwa bado tuna uhai mpaka muda huu. Kuna hili swala linalosemwa sana kupungua kwa Ukwasi mtaani, huwa maranyingi swala hili likiongelewa watu...
0 Reactions
1 Replies
549 Views
Kutoka bungeni dodoma, nimeckia mbunge mmoja akisema tena kwa kujihami akidhani anaongea kitu cha maana Eti saloon ni kiwanda kwahyo kipewe support kubwa. Hivi saloon inatoa huduma au bidhaa...
1 Reactions
0 Replies
751 Views
Kwa utafti nilioufanya binafsi nimegundua Watanzania wengi wanapenda sana habari za umbea na udaku kuliko hbr zenye manufaa ya kulijenga taifa na jamii kwa ujumla. Mfano viongozi hufanya mambo ya...
6 Reactions
17 Replies
3K Views
Nice jamani Jomoni Umependeza my My wangu
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kutokana na sakata la leseni kuwaandama wafanya biashara wa ng'ombe , machichio yote ya DSM wamekatazwa kuchinja ng'ombe kwa sababu wachinjaji hawana leseni. Nipo pugu mnadani hapa, hakuna...
5 Reactions
72 Replies
5K Views
Taasisi ya Dr. Sebi iliyoko ya Marekani kwa kushirikiana na Taasisi ya Life relief Foundation, wanakuletea Semina elekezi kwa wagonjwa wenye Kisukari, Pressure na ambao wapo katika habari ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hakuna ' Kitu ' kibaya duniani na pia cha ' Kipumbavu ' pale ambapo unakuta umepanda katika Lori halafu Dereva na Kondakta wake wanafanya mambo ya hovyo hovyo / kipumbavu kiasi kwamba muda wowote...
8 Reactions
34 Replies
4K Views
AFISA MIKOPO NA UONGOZI WA IFM WAWATESA WANAFUNZI KWA KUTOWAPATIA HELA ZAO ZAKUJIKIMU ZA WANAFUNZI NA KUWATESA WANAFUNZI Inasikitisha sana kwa wanafunzi wa IFM tangu chuo kimefunguliwa wanafunzi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Juzi hapa ajali ilitokea kati ya lori la Fuso na basi la City Boys katika harakati za dereva wa Fuso kukwepa shimo barabarani na kuingia upande wa basi na kusababisha wagongane uso wa uso, na watu...
8 Reactions
58 Replies
6K Views
Wana JF. Kwanza kabisa mods usifute uzi huu wabunge wapate shule juu ya technologia ya milipuko ambayo inasababishwa na mawasiliano waliyoyabeba. Mimi nimefanya kazi nyingi katika sekta hii ya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukweli vijana wa siku wamefanikiwa sana zamani wazee wetu walikuwa wanaajiriwa au wanajiajiri lakini walikuwa wakiishi kimsoto msoto sana. Lakini vijana wa siku hizi unawakuta wanamiliki nyumba...
6 Reactions
32 Replies
5K Views
Afisa wa TRA: Habari ya kwako Shamsa: Nzuri, pole na kazi Afisa TRA: Ahsante Vipi lini ulilipa kodi kwa mara ya mwisho maana naona hata mashine ya EFD hujachukua, Shamsa: Hapana angalieni...
6 Reactions
29 Replies
4K Views
Ingependeza zaidi zoezi hili lingekuwa la kitaifa,hata hivyo nampongeza RC wa Dar kwa kuandaa wanasheria kwa msaada wa kisheria!!
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Wadau Salaam, Leo tarehe 10.04.2018, nimezunguka mitaa mingi kuanzia Mwenge, Sinza,Ubungo na maeneo ya Tegeta nimelisaka gazeti hili pendwa na kulikosa,baada ya kulikosa nikadadisi Barabara ya...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Alcohol consumption is Africa is high, but among the 54 nations, here are the 10 biggest alcohol drinking countries per person aged 15 and above per annum in 2015 10. Tanzania – 7,7 litres per...
0 Reactions
27 Replies
8K Views
Leo tarehe 10 April 2018 Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP) na Mwanafunzi wa UDSM Abdul Nondo amefika mahakama ya Wilaya ya Iringa kwaajili ya kusikiliza maelezo ya awali kuhusu...
1 Reactions
32 Replies
8K Views
Kwa kweli Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda wanaume ni watata, unastahili pongezi kwa hili zoezi uliloanzisha la kuokoa watoto waliotelekezwa na hivyo wanaume watata wa mkoa wako. Big up for that...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kila nikiweka ile emoji ya kucheka yenye vimeno, inatokea nyingine inacheka bila kutoa meno hivyo kupotosha nilicho maanisha, hii app mpya nadhani ina shida kubwa. Angalia hapa naichagua ya...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Hii style ya usomaji wa hotuba wa waziri huyu bungeni imenipa maswali kama kweli anafuata hayo makaratasi. Kwanza ni kweli hayo makaratasi yana maandishi? Kama yana maandishi, je ni kweli hayo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…