Kuadimika kwa gazeti la Mwananchi mtaani

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Posts
5,554
Reaction score
2,160
Wadau Salaam,
Leo tarehe 10.04.2018, nimezunguka mitaa mingi kuanzia Mwenge, Sinza,Ubungo na maeneo ya Tegeta nimelisaka gazeti hili pendwa na kulikosa,baada ya kulikosa nikadadisi Barabara ya Shekilango Kutoka Bamaga hadi Kwa Remmy nikaambiwa kuwa kuna vijana wamepita na kuyanunua magazeti yote. wadau kuna habari gani ya kulifanya lichukuliwe kwa jumla. Naomba nijuzwe
Wasalamu
TB.
 
CCM waparurana ndiyo nimeona habari labda wakubwa hawakuitaka
 
Wadau Salaam,
Leo tarehe 10.04.2018, nimezunguka mitaa mingi kuanzia Mwenge, Sinza,Ubungo na maeneo ya Tegeta nimelisaka gazeti hili pendwa na kulikosa,baada ya kulikosa nikadadisi Barabara ya Shekilango Kutoka Bamaga hadi Kwa Remmy nikaambiwa kuwa kuna vijana wamepita na kuyanunua magazeti yote. wadau kuna habari gani ya kulifanya lichukuliwe kwa jumla. Naomba nijuzwe
Wasalamu
TB.
Kichwa kikuu cha habari ni CCM WAPARURANA BUNGENI........
Hoja ya NAPE yapingwa na LUSINDE, MSUKUMA
Wapinzani wasusia wakipinga mjadala wa Muungano kuzuiwa. Ni hayo tu kwa ufupi.
 
Huu ujinga wa "kununua magazeti" unapatikana katika tawala za kisoshalisti aka kikomunisti aka za kidikteta. Sidhani kama hili linaweza kutokea hapa.
 
Kweli hawa jamaa wamekosa mwelekeo kabisa
 
Huu ujinga wa "kununua magazeti" unapatikana katika tawala za kisoshalisti aka kikomunisti aka za kidikteta. Sidhani kama hili linaweza kutokea hapa.
Jaribu kulitafuta kama utalipata,Kapita Muuza Magazeti mmoja kaniambia kuna Hiace ilipark wakanunua yote. TUNAKWENDA WAPI?😡😡😡
 
Lisome kwenye mtandao. Lina habari tamu kweli kweli
 
Msemaji wa serikali ataitisha PC muda c mrefu, then Maembe atafanya Kazi yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom