Mahojiano ya afisa wa TRA na mfanyabiashara

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
3,473
Reaction score
4,007
Afisa wa TRA: Habari ya kwako

Shamsa: Nzuri, pole na kazi

Afisa TRA: Ahsante Vipi lini ulilipa kodi kwa mara ya mwisho maana naona hata mashine ya EFD hujachukua,

Shamsa: Hapana angalieni kwenye kumbukumbu zenu mashine ina rekodi kila ninachouza

Afisa TRA: Una mashine au huna maana siioni na sijaiona hapa

Shamsa: Mimi nina biashara aina mbili, moja ya kuzungusha na nyingine ya hapa dukani sasa siwezi kuwa na mashine mbili maana ya kuzungusha haina leseni ila hii ina leseni na kwakuwa ya kuzungusha ndio inakusanya hela ya haraka niliamua kumpa anaye zungusha azunguke nayo na atoe risiti huko na mimi hapa nikiuza nampigia aniandikie risiti ili ionekane huko kwenu kuwa nimelipa kodi maana yote ni mali ya hapa dukani tofauti tu ni kumpelekea mteja huko alipo.

Afisa TRA: Kha nani kakuruhusu umpe mtu atembee na mashine ya EFD

Shamsa: kwani si mlisema kila mtu awe na mashine ya EFD ili tulipe kodi ipasavyo na serikali ipate mapato

Afisa TRA: Hatujasema mtu atembee na mashine ya EFD ibaki dukani

Shamsa: mbona siwaelewi mnataka mapato au mnataka mashine ikae tu ofisini hata kama siuzi, na je yanayotoka hapa dukani yanauzwa huko nje niyafumbie macho kwa hiyo

Afisa TRA: Hapana ukiuza huko nje aje hapa dukani aorodheshe kila alichouza na aingize kwenye mashine ya EFD iliyopo hapa na si kutembea nayo

Shamsa: Ninajua jinsi ya kutumia mashine inatosha hata jinsi ya kuchangia sehem ya mapato yangu

Afisa TRA: Haya tunataka kesho tuje tukute mashine hapa dukani

Shamsa: subiri niangalie kam majini wamesharudisha (shamsa akaningia stoo ya duka)

Afisa TRA: we mama unatutania sio

Shamsa: Niwaite majini muwauliza kama sio wao walikwenda mtaani kuuza bidhaa

Afisa TRA: Huyu mama hana akili timamu

Shamsa: Haya mashine iyo hapo tena leo wameuza sana kama shilling Milioni 29 hapa kwangu ndio sijauza kabisa yote hayo mauzo ya nje majini wananiletea

Afisa TRA: ebu tuonyeshe leseni ya biashara

Shamsa: Majini ndo huwa wanaitumia njoni muwaombe maana mimi hainihusu ingeni huku store ndipo walipo

ITAENDELEA… 😀😛😎
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
huyo ni mkinga tu , ngoja wakatolewe kafara huko store
 
Jamaa unanichangamsha sana na hizi chai zako!
 
Afisa wa TRA: Habari ya kwako

Shamsa: Nzuri, pole na kazi

Afisa TRA: Ahsante Vipi lini ulilipa kodi kwa mara ya mwisho maana naona hata mashine ya TFDA hujachukua,

Shamsa: Hapana angalieni kwenye kumbukumbu zenu mashine ina rekodi kila ninachouza

Afisa TRA: Una mashine au huna maana siioni na sijaiona hapa

Shamsa: Mimi nina biashara aina mbili, moja ya kuzungusha na nyingine ya hapa dukani sasa siwezi kuwa na mashine mbili maana ya kuzungusha haina leseni ila hii ina leseni na kwakuwa ya kuzungusha ndio inakusanya hela ya haraka niliamua kumpa anaye zungusha azunguke nayo na atoe risiti huko na mimi hapa nikiuza nampigia aniandikie risiti ili ionekane huko kwenu kuwa nimelipa kodi maana yote ni mali ya hapa dukani tofauti tu ni kumpelekea mteja huko alipo.

Afisa TRA: Kha nani kakuruhusu umpe mtu atembee na mashine ya EFD

Shamsa: kwani si mlisema kila mtu awe na mashine ya EFD ili tulipe kodi ipasavyo na serikali ipate mapato

Afisa TRA: Hatujasema mtu atembee na mashine ya EFD ibaki dukani

Shamsa: mbona siwaelewi mnataka mapato au mnataka mashine ikae tu ofisini hata kama siuzi, na je yanayotoka hapa dukani yanauzwa huko nje niyafumbie macho kwa hiyo

Afisa TRA: Hapana ukiuza huko nje aje hapa dukani aorodheshe kila alichouza na aingize kwenye mashine ya EFD iliyopo hapa na si kutembea nayo

Shamsa: Ninajua jinsi ya kutumia mashine inatosha hata jinsi ya kuchangia sehem ya mapato yangu

Afisa TRA: Haya tunataka kesho tuje tukute mashine hapa dukani

Shamsa: subiri niangalie kam majini wamesharudisha (shamsa akaningia stoo ya duka)

Afisa TRA: we mama unatutania sio

Shamsa: Niwaite majini muwauliza kama sio wao walikwenda mtaani kuuza bidhaa

Afisa TRA: Huyu mama hana akili timamu

Shamsa: Haya mashine iyo hapo tena leo wameuza sana kama shilling Milioni 29 hapa kwangu ndio sijauza kabisa yote hayo mauzo ya nje majini wananiletea

Afisa TRA: ebu tuonyeshe leseni ya biashara

Shamsa: Majini ndo huwa wanaitumia njoni muwaombe maana mimi hainihusu ingeni huku store ndipo walipo

ITAENDELEA… 😀😛😎
Unajua leo ni siku ya sabato?
 
Back
Top Bottom