Msaada: Emoji haitaki kucheka.

Msaada: Emoji haitaki kucheka.

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,845
Reaction score
4,776
Kila nikiweka ile emoji ya kucheka yenye vimeno, inatokea nyingine inacheka bila kutoa meno hivyo kupotosha nilicho maanisha, hii app mpya nadhani ina shida kubwa.

Angalia hapa naichagua ya vimeno: 😀 😀 😀
 
Kila nikiweka ile emoji ya kucheka yenye vimeno, inatokea nyingine inacheka bila kutoa meno hivyo kupotosha nilicho maanisha, hii app mpya nadhani ina shida kubwa.
Badili simu tu au pc
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Copy hiyo utumie
 
Kila nikiweka ile emoji ya kucheka yenye vimeno, inatokea nyingine inacheka bila kutoa meno hivyo kupotosha nilicho maanisha, hii app mpya nadhani ina shida kubwa.
unauhakika uliichekesha lakini iyo imoji?
aiwezi ikacheka tu! from no wapi
 
[emoji28][emoji28][emoji28] mbona inacheka ??? Au chukua ya kwangu hyo hapo....
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] weka ilr inayocheka mpaka machozi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] itachekaje wkt vyuma vimekaza mkuu
 
Back
Top Bottom