TRA yatoa ripoti ya makusanyo ya kodi kwa miezi 9 kwa mwaka 2017/18

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397

IMG_20180410_133501.png

dsa.jpg

Kwa hiyo ndipo tulipofikia hapo?
-------
Yaani ni afadhari ya jana...!
 
Kuna tax refunds on VAT hawajazilipa yaani ni kasheshe sheshe tunagugumia tu
 
Huu wote ni Uwongo, Hapa kama nusu ya hizi ni kweli tunatakiwa Tukatambikie. Serikali ya Magufuli ni ya Hadaa na Usanii, Hapo zipo mpaka za Marejesho ya Exports! Kuna watakaobisha! hata hiyo nembo ya TRA, Kuifanya Digital ili iwekwe kwenye Reports Niliiweka mimi 1998!
Jamani Msaada Kwa Anayeweza Kunisomea Hizo Pesa Maana Mi Nimeishia Kutaja Namba Moja Moja Mfano Kumi Mia Tisa Tisini Na Saba Mia Moja Arobaini.
 
Jamani Msaada Kwa Anayeweza Kunisomea Hizo Pesa Maana Mi Nimeishia Kutaja Namba Moja Moja Mfano Kumi Mia Tisa Tisini Na Saba Mia Moja Arobaini.
Ni Trilions, Na Ukitaka Kusoma Kirahisi Unaround Up eg Mwezi February, Unaweza Kusema Ni Trilion 1.12 Kwa hesabu za Ki Hapa kazi Tuu, Ila Ukitaka Kujua Ukweli Unazidisha kwa 0.65 Utakuta Mwezi Feb. walikusanya Kama Bilioni 700 hivi. Na hapo tu Ni Muujiza!
 
kweli kabisa huu ni UWONGO ULIO DHAHILI KABISA.
 
Back
Top Bottom