Basi la Kampuni ya Maqadir lapata ajali Tanga

Basi la Kampuni ya Maqadir lapata ajali Tanga

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
Basi la Kampuni ya Maqadir lililokuwa linatoka jijini Tanga kwenda Kijiji cha Mtae, Wilaya ya Lushoto mkoani humo, limeanguka asubuhi leo Aprili 10, 2018 katikati ya barabara kuu ya Segera-Tanga katika kijiji cha Mpakani, kata ya Kerenge wilayani Muheza mkoani Tanga.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Edward Bukombe, majeruhi wa ajali hiyo ni mmoja na bado hajatambuliwa ambapo chanzo cha ajali hiyo, pia bado hakijafahamika.

Maqadir.jpg
 
Mwendo kasi kwenye kona. Anyway tunashukuru hakuna vifo wala majeruhi wengi.
 
Madereva kuweni makini hiki kipindi cha mvua jamani , lami kipindi cha mvua gari haitulii kukimbia kimbia bila mpango sio uungwana japo sijajua chanzo cha ajali ni nini.
 
Yaani jamani ajali kila siku madreva kuweni makini barabarani
 
Back
Top Bottom