Nyie vijana fainali uzeeni

Nyie vijana fainali uzeeni

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,033
Matokeo ya matendo yako utayapata uzeeni
Mtume Mohammad (s.aw)alisema umri wa kuishi binadamu no miaka 60 ukizidi hapo jua unatumia ziada tu....
Jamani hakuna kitu kibaya na hakikwepeki kama uzee.....
Ni pale unapoanza kugusa 60+
Maisha yanachange sana kwa wale dhaifu kila kitu kigumu kufanyika
Sukari,bp hapo zinashamiri..nguvu za kiume zinnaanza kukata ...
Hata ATM machine possibly ukakabidhi kwa watoto uwezi tena...
Nimeshuhudia wengi wanakabidhi funguo za gari kwa familia hawawezi tena kuona tena shida...
Ni kipindi ambacho watu aina ya KIRANGA wana tubu na kutambua uwepo wa Mungu..ci mnakumbuka Remi ongala aliimba katika wimbo wake wa Kilio uzeeni aliokoka..
Uzee jamani unageuka kuwa mtoto kwa wale wanaofikia 70+ hiki ndio kipindi kigumu sana katika maisha
Kila kitu unafanyiwa km kipato chako kidogo hali uwa ngumu zaidi hasa katika matibabu...
Wazee wa mjini ndio wanaumia zaidi coz magonjwa uwashambulia kuliko wazee wa vijijini wao kazi za shamba zinawasaidia sana..
Ni kipindi ambacho vijana watakudharau hasa ukufika80+ ni kipindi kigumu sana ....
Namuona bibi na babu yangu ukali wote ule Leo wako na pempas
Uzee ni mtihani vijana...
 
Si vizuri kuwadharau wazee, walikuwa wakali ili kukuweka katika mstari, sasa kwa kuwa wako miaka 80+, wapewe heshima na matunzo wanayostahili.
 
kwa kweli walivyonipagania nikija kufanikiwa nitawatunza kama mboni yangu
 
Dont worry about tomorrow. .
Leo tu hujaimaliza kesho ya nini huo uzee hata ukianza kuwa mstaalabu sasa hivi uzee utafika tu ...
Cha muhimu ni kuishi maisha yako uzeeni mambo yatajiseti yenyewe
 
Mtume Mohammed ndio ugonjwa gani tena huo? Anasema umri wa MTU kuishi ni miaka 60 aliwahi kuumba nani akampangia huo umri wa kuishi? Je wanaokufa chini ya miaka5 Mtume wenu huyo pia aliwaelezea sababu ni nini? Waislam acheni kupotezwa na hadithi za waarabu na mashehe. Umri wa kuishi MTU anaujua Mungu peke yake yeye aliyemuumba, sio kuleta story za mudi hapa alisema
acha kuongea pumba za matakoni wew kma hujaelewa kamaanisha nn heri ukae kimya
 
Mume Mohammed ndio ugonjwa gani tena huo? Anasema umri wa MTU kuishi ni miaka 60 aliwahi kuumba nani akampangia huo umri wa kuishi? Je wanaokufa chini ya miaka5 Mtume wenu huyo pia aliwaelezea sababu ni nini? Waislam acheni kupotezwa na hadithi za waarabu na mashehe. Umri wa kuishi MTU anaujua Mungu peke yake yeye aliyemuumba, sio kuleta story za mudi hapa alisema
acha uchawi mbwa we...
 
Back
Top Bottom