Heshima kwenu wakuu.
Nimempigia simu jana Mzee mmoja huko kijijini.
Ni muda tulikuwa hatujawasiliana tangu January yani pale mwaka mpya.
Mimi: Mzee shikamoo
Mzee: Marahaba, hujambo mwanangu...
Hivi hawa wazee wakiulizwa na watoto wao au wake zao,..'.. yule mliokua mnamuua aliiba nini..'.., sijui watajibu kitu gani... pia wakiulizwa ..'..hivi baba...wewe ni muuaji..'.., sidhani kama...
Fr. Urbadius Kidavuli aliyekuwa Katibu mtendaji Idara ya Utume wa Walei baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) amefariki. Katika hali ya kushangaza, yeye anatoka jimbo la same na hivyo kuwa ni padre wa...
Serikali inaua Private Sector hata kampuni za Wazawa kabisa. Maxcom ni kampuni iliyoanzishwa na inamilikiwa na wazawa kwa 100%. Hii inatoa picha mbaya sana kwa vijana na watanzania wenye nia ya...
During Kikwete's Era I was making more money than what I am making in Magufuli's era.
However at Magufuli's era I am saving much money than what I used to save during Kikwete's era..
In business...
Wakuu naomba mawazo yenu, nina tatizo kwenye biashara yangu kuhusu mahali nilipopanga!
Hii fremu niliichukua kwa mtu kwa makubaliano ya kurudisha kodi ya miezi iliyobaki, hivyo nililipa kuanzia...
Anaandika Doto Bulendu
Nimewauliza wabobezi wa sheria,je bunge linamuhoji Paschal Mayala kwa sheria ipi? na kwa nini hawampeleki mahakamani kama wanahisi kalikosea bunge?wamenijibu kuwa.
Kwa...
Mwili wa Mtanzania, anayedaiwa kuuawa na mume wake, Uingereza Leyla Mtumwa, bado haujafika nchini kutokana na uchunguzi kutokamilika.
Leyla, 36 anadaiwa kuchomwa visu shingoni na kifuani hadi...
habarini wanajamvi....
Mifuko ya jamii hukata mishahara ya watumishi wa umma kila mwezi kwa ajili na mafao pindi mtumishi anapostaafu na mwajiri pia huweka kila mwezi....
Hiv mafao ndo...
Hali imechafuka: Watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Uganda kutozwa kodi Hali imechafuka: Watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Uganda kutozwa kodi - MUUNGWANA BLOG
Ndugu mnaoongoza serikali wekeni lami barabara hii muhimu kule Mufindi.
Barabara hii inaunganisha maeneo muhimu ya uzalishaji yenye viwanda kv:-
1. Kiwanda cha Karatasi Mgololo
2. Kiwanda cha...
Nimeona kwenye insta,Maulid kitenge,akiwa anasoma magazeti,huku akiwa ndani ya chumba kinachoonesha ni studio ya VOA,je ni kweli kahamia huko,mwenye taarifa atujuze
Maisha ni haya haya kama yalivyo!
Raha na utamu wa maisha ni ujanani. Kuwa na pesa uzeeni ni upumbavu uliokomaa sana!
Unatafutaje hela ikiwa umeshazeeka?! Ndo haya mambo watu wakistaafu na...
Mtu akiwa ndani ya CCM anaonekana Fisadi....
Mtu huyo huyo anayeonekana Fisadi akiwa ndani ya CCM akihamia CDM anaonekana msafi...
:bange::A S-coffee::A S-confused1:
Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema, wapo wanaume wanaomtukana na kumkejeli baada ya kuanzisha kampeni hiyo ya kuwasaidia akinamama waliotelekezwa.
Hata hivyo...
Kuna uzi moja ulianzishwa kipindi cha nyuma ukimuongelea huyu mpambe. Nilimtetea kwa kiasi kikubwa kwa kuzingatia kwamba Rais Magufuli ni Rais ambaye yupo tofauti kabisa na marais waliomtangulia...
Kumekuwa na fikra mbaya sana kwetu sisi watanzania kwamba mtu akiwa tajiri ni mwizi. Tumekuwa tukishangilia kila tajiri akisulubishwa na kusahau tunaangamiza uchumi wetu.
Watanzania tunatakiwa...
:' yajayo yanafurahisha " tuorodheshe matukio mazuri yatakayokuja tanzania na ulimwenguni iwe katika nyanja ya siasa teknolojia na anga za juu
Mie naanza na tanzania baada ya miaka 30 itakua...
Kumekuwa na mawazo na shutuma mbalimbali juu ya Mkuu wa KKKT Askofu Dr. Fredrick Shoo kuhusiana na tamko la KKKT. Vipo vigatezi na vyanzo vingine vya habari ambavyo vimeandika vikimtuhumu Mkuu wa...
Makonda alisema hatua hiyo imefikiwa na wanasheria na maofisa ustawi wa jamii baada ya kuhoji wanaume waliodaiwa kuwatelekeza watoto, katika malalamiko yanayoendelea kutolewa na wanawake kuanzia...