Mifuko ya jamii: Lengo la mafao hasa ni nini?

Mifuko ya jamii: Lengo la mafao hasa ni nini?

huko kwenu vipi

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2015
Posts
1,540
Reaction score
1,475
habarini wanajamvi....
Mifuko ya jamii hukata mishahara ya watumishi wa umma kila mwezi kwa ajili na mafao pindi mtumishi anapostaafu na mwajiri pia huweka kila mwezi....

Hiv mafao ndo yatamsaidia mtumishi pindi atakapostaafu?
Hivi huyu mtumishi kama hajafanya chochote kipindi akiwa mtumishi ndo atafanya kitu kupitia mafao? kweli?

Lengo la mafao hasa ni nn?
Mafao yanawafanya watumishi kutokufanya maendeleo kwa lengo la kusubiri mafao......
Kwann mifuko haya yasiwape michango yao watumishi wa umma kila baada ya miaka mitano? fedha si yake?
 
Yani sijaelewa ulikuwa unawaza nini!!!!!!! Lakini mafao ni haki yao walikatwa kipindi wapo kazini
 
Yani sijaelewa ulikuwa unawaza nini!!!!!!! Lakini mafao ni haki yao walikatwa kipindi wapo kazini

Nimewaza mbali sana hiv hizi mifuko haziwezi kutoa hela kwa kila mtumishi aliyechangia kila baada ya miaka mitano??

Hivi assume amechangia milion 8 pamoja aliyoweka mwajiri ndani ya miaka mitano then ukakimbia bank kuchukua mkopo kama milion 9 jumla si utakuwa na milion 17?

Hiv 17milion si unajenga kabisa?unawasomesha watoto?
 
Back
Top Bottom