mr mkiki
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 5,727
- 11,952
Serikali inaua Private Sector hata kampuni za Wazawa kabisa. Maxcom ni kampuni iliyoanzishwa na inamilikiwa na wazawa kwa 100%. Hii inatoa picha mbaya sana kwa vijana na watanzania wenye nia ya kukuza biashara zao nchini.
TTCL imefufuka kwa kodi za sekta binafsi, halafu ndio inatumika kunyang'anya biashara iliyobuniwa na waTZ huu ndio mwanzo wa mwisho wa UDART
Kadi zetu za mwendoniaje zenye Salio ndo basi tena?
mr mkiki.