Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wanawake wa Freemason wamekuwa wakikutana kwa zaidi ya miaka 100 sasa, wakifanya matambiko na sherehe sawa na wenzao wa kiume. Lakini si watu wengi wanaofahamu kuwepo kwa kundi hili. Baada ya...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Katika hari isiyo ya kawaida kijana Elia Haule ambaye ni tax driver amepotea katika mazingila ya kutatanisha. Imeelezwa kwamba siku ya tarehe tano ya mwezi huu mida ya saa mbili jioni aliwapokea...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Wasalam wandugu nahitaji kufahamu sehemu nayoweza pata Gazebo au tents za aina hii katika picha na bei zake zinacheza kwa shingapi pia kama kuna maelezo ya ziada kuzihusu itapendeza zaid I ikwapo...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kuna wadudu wengi wanaotuzunguka, wengine tunaishi nao majumbani hata kama hatuwapendi. Inzi (housefly or scientifically musca domestica), ni mdudu wa kawaida kabisa kwa wengi wetu mwenye...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Katika hali isiyo ya kawaida watoto wa shule za msingi mkoani Kigoma wamekuwa wakitumia dawa za nguvu za kiume kupambana na adhabu za walimu shuleni.Dawa maarufu zaidi inayotumiwa na wanafunzi hao...
1 Reactions
34 Replies
7K Views
Kwa kuwa ndo naanza kufatilia siasa za Tanzania, huwa nasikia bajeti za serikali na mahakama, ila sijawahi kusikia bunge linapewa kiasi gani cha pesa na kama CAG analikagua, tafadhari nijibu kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimetumiwa hii email na rafiki yangu mmoja baada ya yeye kuipata kutoka website moja hivi na nimeona sio mbaya nikawapa mjionee na kila mmoja kwa nafasi yake atafakari Atakaeona ni ya kijinga sawa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika video hii unaisikia sauti moja kubwa mahususi na inayojirudia rudia ya mwanaume mmoja Mmarekani mweusi. Mtangazaji wa pambano anatambua uwepo wa mtu huyu anayezungumza kwa sauti akielekeza...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Haya ndio maajabu ya mambo hapa duniani hususan Tanzania. Mhe. Zitto aishutumu serikali kupoteza 1.5 trilioni katika mwaka wa fedha wa serikali wa 2016/2017. Lakini Bwana PolePole anampinga Mhe...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
SERIKALI YAFAFANUA KUHUSU CHANELI ZA BURE PINDI WANANCHI WANAPOISHIA NA VIFURUSHI 27 December, 2017 Kutokana na malalamiko ya mara kwa mara kwa wananchi kuhusu kukosa huduma ya runinga za bure...
2 Reactions
26 Replies
6K Views
Hapa nchini hatuna Nchi inayoitwa Tanganyika. Kwa sababu ambazo ni Classified Tanganyika ilipotea kimagirini magirini. Lakini leo kipo chama cha mawakili wa Tanganyika. Hawa wana wakilisha Eneo...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu Habari. Mwenye nakala laini (soft copy) ya kitabu cha mawasiliano serikalini anisaidie please. Hasa ile ya hivi karibuni au namna yoyote naweza pata contacts za ma RAS na DE Tanzania nzima...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Vodacom toka juzi nimegundua kuna test mnayoifanya ila hamsemi kwanini mna test bila ya kutupa taarifa wala kutuomba radhi kwa kinachoendelea, hakuna taarifa yoyote. Kila ifikapo muda wa saa 2.40...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Samahani, ningependa kujua utaratibu wa mtu kuitwa kituo cha polisi Ipo hivi, leo mida si mirefu, nimepokuta missed call kwenye simu yangu. Nilipopiga, nikauliza mwenzangu nani maana nimekuta...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Mainjinia waliohusika kujenga hapo ni kweli hamkujua kama jambo kama hili linaweza kutokea na kusababisha usumbufu kwa wananchi? Mnashauri nini kwa mamlaka husika ili hali kama hii isitokee...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Watumishi watatu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Arusha wamehojiwa na kikosi maalumu kutoka mamlaka hiyo makao makuu jijini Dar es salaam kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya rushwa...
5 Reactions
41 Replies
8K Views
Nasikitika kusema haya lakini ndiyo ukweli.Hawa jamaa wanasoma miaka minne chuo kikuu na mwisho wa siku unaona vidonge vinatengenezwa na Matunge ambaye hajaenda darasa lolote la dawa.Wanakaa...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Habarini wana Jf .Nahitaji kujua software nzuri na rahisi ya kutengeneza matangazo ya audio/sauti kwaajili ya matangazo yakwenye magari.Pragram gani nzuri inayoweza kunisaidia pia kuweka backsound...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Aisee nchi hii ni ngumu sana. Wanawake wengi wana njaa kali. Always mwanamke hutaka kuwa na pesa wakati wote. Mwanamke hapendi kujitesa. Kuna mdada naheshimiana nae sana. Ni best friend tu...
4 Reactions
43 Replies
4K Views
Moto uliozuka leo hii katika kiwanda cha Ocean Kiss kilichopo Tabata Bonde la Sukita jijini Dar es Salaam ikiendelea kuwaka na kuzua taharuki kwa wakazi na wafanyakazi wa eneo hilo. Bado moto huo...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…