Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu zangu habari zenu mm ni kijana nliehitimu masomo ya kidato cha NNE 2016 naomba ufadhili ili niweze kusoma clinical medicine mwaka huu kutokana familia yangu kuwa duni Nitashindwa kumudu...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Sijawahi kuona ' Misiba ' ya Watu maarufu nchini nisimwone fasta Steve Nyerere akijiteua kuwa Mratibu wake Mkuu na Sky Media Group usiuvalie njuga huo Msiba. Jamani ' sometimes ' oneni basi aibu...
7 Reactions
30 Replies
4K Views
Leo nikaona ninywe kibia kidogo nisikie ladha yake cha ajabu naambiwa ni (elfu mbili) buku mbili, hivi ni kweli au wamenipiga? Niambieni wadau wa hii kinywaji
4 Reactions
63 Replies
10K Views
Hivi tarehe 26/4 kuna maadhimisho ya muungano kweli? mana miaka ya nyuma tulikua tunaona mishemishe zikianza mapema. Tafadhali mwenye kujua sababu inayofanya watu wawe kimyaa hivi kwa jambo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habarini wapendwa! Mzee huyu anaitwa Peter Boniphace Charles. Nahitaji kuwafahamu ndugu zake na mwanawe;Anayeitwa Elizabeth Peter Boniphace Charles mkazi wa Zanzibar,kazi yake askari. Mdogo wake...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Kama uliitwa na mzazi mwenza ili mjadiliane na hukwenda,sasa jiandae kukamatwa,haijarishi wewe ni mbunge
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hii ni Kutokana na Mtandao wa Alexa Siku ya Leo, Nimechambua zile za Tanzania tu kuacha zile za nje kama facebook, Instagram na zingine nyingi za nje... Msimamo wa ligi uko hivi...
6 Reactions
31 Replies
17K Views
a) to advise the President regarding appointments of the Judges of the High Court; b)................................... c)....................................... etc The newly appointed judges...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Hili ni kosa kwa maoni yangu kubwa tulifanya Dar, majengo marefu yametapakaa kila mahali na hovyo hovyo matokeo yake hayaleti sura nzuri ya mji, unakuta ma-skyscraper yanajengwa Kijitonyama mara...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Leo niko huku kwa Mara ya kwanza, kumbe mko vizuri sana. Pongezi kwenu.
6 Reactions
105 Replies
18K Views
Nimeikuta kwenye magroup tar Whtsapp *TOZO ZA TCRA ,BLOGGERS TUTAFUTE KAZI NYINGINE YA KUFANYA* TCRA imetangaza wamiliki wa blogs,online TV n radio watume maombi kwa ajili ya usajili.Gharama...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Mtu anaezungumzia mustakabali wa maisha ya watanzania na kuelezea wizi wa Trillion 1.5, makusanyo hewa ya Trillion 2.2 kuna chombo cha habari kimoja. Diamond kuzungumzia jinsi anavyowashika shika...
20 Reactions
72 Replies
8K Views
Dada Lily Tesha amekamatwa na Polisi mkoani Morogoro takribani wiki moja sasa kwa madai ya uchochezi. Polisi wanadai Lily amejiunga na makundi ya Telegram na anahamasisha maandamano yanayoongozwa...
8 Reactions
68 Replies
9K Views
Kwa ufupi SUMATRA ni mamlaka ndani ya Serikali yenye kusimamia usafiri wa majini na nchi kavu. Ni mamlaka muhimu sana lakini utendaji wake wa kazi ni wa mashaka matupu. Kazi ya kusimamia sheria...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nashindwa kupandisha picha hapa kwa maelezo ya kuwa siko verified, na hii imetokea baada ya ku-update app ya Jf, ilhali app kwa app ya zamani nilikua nafanya kwa urahisi tu. Hii imekaaje mods
0 Reactions
0 Replies
599 Views
Kufikia mafanikio sio jambo rahisi rahisi tu. Safari yake ni ndefu sana hata kama utakuwa na vyanzo,bado itahitaji mchakato. Asubuhi hii wakati najiandaa kwenda kanisani nimepata dakika 5 za...
3 Reactions
42 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…