Naomba msaada kuwajua ndugu wa huyu mzee

Raynavero

JF-Expert Member
Apr 29, 2014
38,413
55,986
Habarini wapendwa!
Mzee huyu anaitwa Peter Boniphace Charles.

Nahitaji kuwafahamu ndugu zake na mwanawe;Anayeitwa Elizabeth Peter Boniphace Charles mkazi wa Zanzibar,kazi yake askari.

Mdogo wake anaitwa William Boniphace Charles askari mkazi wa Moshi bar Gongolamboto na Dada ake mwl wa primary na ni mkazi wa kibaha kongowe anaitwa mwl Charles.Ni wasambaa kikabila.

Naomba yoyote mwenye kuwafahamu hata huyo mtoto atusaidie tafadhali.
Hata kwa mawasiliano nao
Picha ya huyu mzee ni hii hapai
IMG_20170826_164310_940.JPG

Ahsanteni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wapendwa!
Mzee huyu anaitwa Peter Boniphace Charles.

Nahitaji kuwafahamu ndugu zake na mwanawe;Anayeitwa Elizabeth Peter Boniphace Charles mkazi wa Zanzibar,kazi yake askari.

Mdogo wake anaitwa William Boniphace Charles askari mkazi wa Moshi bar Gongolamboto na Dada ake mwl wa primary na ni mkazi wa kibaha kongowe anaitwa mwl Charles.Ni wasambaa kikabila.

Naomba yoyote mwenye kuwafahamu hata huyo mtoto atusaidie tafadhali.
Hata kwa mawasiliano nao
Picha ya huyu mzee ni hii hapaiView attachment 575439

Ahsanteni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Ana nini huyo mzee?tueleze vizuri.
 
Back
Top Bottom