The functions of the Judicial Service Commission of Tanzania (JSC)

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,374
73,975
a) to advise the President regarding appointments of the Judges of the High Court;
b)...................................
c)....................................... etc

The newly appointed judges are
Ilvin Mugeta,
Elinaza Luvanda
Yose Mlyambina.
Immaculata Banzi,
Mustafa Siyani,
Paul Ngwembe
Agnes Mgeyekwa.
Stephen Magoiga,
Thadeo Mwenenpazi
Butamo Philip.

Kati ya hao nani amekuwa kwenye bench kutoka district and resident magistrates courts zaidi ya mikaka 10! Anayejua tafadhali atuwekee majina yao.
Sidhani kama JSC ilihusika na kama ilihusika, basi haina independence as stipulated in the constitution, and the accompanying acts.. Judicial administration, Judicial services act etc; it is remotely controlled by some one! Kukaimu Uchief justice madhara yake ni haya!
 
We bado hujaamka, hujui kuwa hakuna anaekaimu kuwa chief Justice. Na hiyo tume ndio inayomshauri rais. Lakin pia wakat anatangaza majina ya majaji wapya alikuwepo chief justice na wazir wa sheria.

Kama hayo majina haya reflect mawazo yako, bas kubali kuwa tuko tofaut kimawazo. Kubali kutofautiana na sio kila unachoona haki match na mawazo yako bas unakizushia tuhuma.

Huo ndo ushaur waliotoa tume ya utumish wa mahakama. Wanatoa majina mengi tu. Anaeteua anachagua majina kutoka kwenye mapendekezo hayo.
 
Rubbish! Sensible CJ and his commission, hawawezi kuteua watu kama hao kuwa judges! Rubbish!
 
Back
Top Bottom