Hii bia ndogo si walisema ni buku jero?

Hii bia ndogo si walisema ni buku jero?

Bismack

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2018
Posts
387
Reaction score
496
Leo nikaona ninywe kibia kidogo nisikie ladha yake cha ajabu naambiwa ni (elfu mbili) buku mbili, hivi ni kweli au wamenipiga?

Niambieni wadau wa hii kinywaji

20180417_223808-jpg.748269
 
Leo nikaona ninywe kibia kidogo nidikie ladha yake chaajabu naambiwa ni buku mbili, hivi ni kweli au wamenipiga ? niambieni wadau wa hii kinywaji
ndo hii hapa
20180417_223808.jpg
 
Mwenyewe hata ile ya kopo sahv wanasema 2,500 wakati juzi tumeona tangazo la kushusha bei
 
Inategemea umeinunulia wapi mkuu... bar kubwa kubwa na club nyingi huuzwa 2000 to 2500 ila bar za kawaida na kwenye Grosaries huuzwa 1500/=

Karibu mkuu drink beer to save water [emoji4]
Mkuu niko kwenye kigrosal
 
Pombe ni kharam!
We hujui kasome uelewe, inatakiwa unywe kwa akili sana utakua na mawazo mazuri tena usiwe na kampani kama umeoa nenda na mkeo au rafiki yako mmoja basi utaenjoy sana
 
Back
Top Bottom