Top 10 ya blogs/websites za habari zinazotazamwa sana Tanzania, JamiiForums yaongoza

Udakuz

Member
Feb 4, 2013
85
51
Hii ni Kutokana na Mtandao wa Alexa Siku ya Leo, Nimechambua zile za Tanzania tu kuacha zile za nje kama facebook, Instagram na zingine nyingi za nje...

Msimamo wa ligi uko hivi:

1.Jamiiforums.com
2.Zoomtanzania.com
3.Millardayo.com
4.Mwananchi.co.tz
5.Ajira.go.tz
6.Tra.go.tz
7.Mpekuzihuru.com
8.Tanzaniatoday.co.tz
9.Kupatana.com
10.Udakuspecially.com
 
watu wana total visitors tririon 1 aisee spati picha mfuko wa adsense umetunaje
 
kwa list hiyo inaonyesha kuna ukosefu mkubwa wa ajira Tanzania maana kati ya hizo blog 10,za habari zinazohusu ajira 2 zinahusiana na ajira moja kwa moja
 
Le baharia
king of all social media
hayupo list naifuta
 
Kwa mtiririko huo naunga mkono. Hasa hiyo top 3 Kila siku lazima niingie humo. Le mutuz vp hayuko? Maana anajiita king of all social media, naona he is super humbled kuwa out of top ten live you know!
Le Mutuz ni mbabaishaji na msaka umaarufu kwa juhudi kubwa.. u know
 
Hii ni Kutokana na Mtandao wa Alexa Siku ya Leo, Nimechambua zile za Tanzania tu kuacha zile za nje kama facebook, Instagram na zingine nyingi za nje...

Msimamo wa ligi uko hivi:

1.Jamiiforums.com
2.Zoomtanzania.com
3.Millardayo.com
4.Mwananchi.co.tz
5.Ajira.go.tz
6.Tra.go.tz
7.Mpekuzihuru.com
8.Tanzaniatoday.co.tz
9.Kupatana.com
10.Udakuspecially.com

Usingeiweka JAMII FORUMS namba MOJA ungenisababishia BAN sasa hivi! Bahati yako ila pongezi sana kwani JAMII FORUMS ndiyo namba MOJA na wengine wanafuata. Vizuri sana Mkuu na kula gwala langu!
 
le super billionea aka social network mogul hayumo????? im super humbled.
 
Shaffih hayupo? Siyo kweli

Shaffih Dauda mzee wa 'still bado' kiswanglish kwenda mbele kule sports extra.. Safi ananajitahidi kutujuza ila apunguze kuchanganya lugha inaharibu utamu. Lugha ya kigeni ikitumike tu pale inapohitajika
 
Kwa mtiririko huo naunga mkono. Hasa hiyo top 3 Kila siku lazima niingie humo. Le mutuz vp hayuko? Maana anajiita king of all social media, naona he is super humbled kuwa out of top ten live you know!
Mwacheni baba salehe,kwan arilud toka lagos alivyoenda you know kwenye tuzo alizoshinda lulu just curious you know
 
Back
Top Bottom