Naushauri uongozi wa MANISPAA ya SUMBAWANGA kuanza mchakato wa Ujenzi wa Kituo kikubwa cha MABASI nje ya MJI ili kuupanua MJI wake.Kutokana na Barabara ya kutoka mby/sumbawanga kuwa ktk kiwango...
Wakuu naomba mwenye namba za simu au mawasiliano ya taasisi ya kijerumani ya Kaizer Foundation anipatie. Nimeambiwa ofisi zao zipo Dar ila mtandaoni nimepita ukurasa wao wa Facebook usio na...
Salamu wakuu,
Wiki 2-3 nipo katavi kwa shughuli za utafutaji. Nimekuwa mwenyeji mji huu sasa kitu kinacho kera ni wananchi kuendekeza siasa hata katika mambo ya msingi.
Kuna askari mmoja...
Member of Parliament CV
GENERAL
Salutation Honourable
First Name: Deo
Middle Name: Kasenyenda
Last Name: Sanga
Member Type: Constituency Member
Constituent: Njombe Kaskazini...
Nachukulia mfano kwa Dsm.
Nenda G'mboto /Vingunguti /Buguruni /Ilala Boma na maeneo mengine ndani ya jiji.
Jamani nyama maandalizi yake na packing yake kwa Dsm hata tu huko mikoani ni mbaya...
Ni msemo ambao unaendelea kutesa 'punda" wengi mjini pasipo gavoo kuelewa cz mchezo unachezwa kisiri sana na wachache wajuao but once goli limefungwa utaona sasa watu haaa kila mwenyew ananga'a...
Mfanyakazi wa Shirika la Umeme (TANESCO) Kibaha, Chande Kipae, amefariki dunia baada ya kunaswa na umeme wakati akiondoa nyaya za umeme zilizokuwa zimekatika.
Tukio hilo limetokea April 16 saa...
Pichani Lema, chadema walivyovamia Balozi za Umoja wa Ulaya kuishitaki Serikali yetu kwa Muzungu, ningependa kupata mrejesho, vipi Muzungu amewasiliana nanyi tangu muende kushitaki?
Nimekutana na tamthilia hapa ITV haki ya nani hadi kichefuchefu yaani full mkorogo mpaka chukizo!! Sijui inaitwa "Kimya Milele?" Hivi wanawake hawana mshipa wa aibu?
Habari za hivi punde ni kwamba kijana maarufu mtandaoni na hapa jijini Dar, 'James Delicious' anashikiliwa na kituo cha polisi Osterbay toka Jumamosi kwa amri ya Kigwangalla.
Ikumbukwe kuwa...
Nisiwachoshe sana wakuu wenzangu, inshort ni kwamba wakati nasafiri kutoka Tz to Rwanda nilipofika Rwanda kwenye akaunt yangu ya airtel money mlikuwa na Tshs 50,000.
Kwa kuwa miamala ya kuweka na...
Rais wa Korea ya Kaskazini Kim Jong-un naona ameshindwa kupimana ubavu na wanaume duniani USA na kuamua kutangaza hadharani kuwa hana mpango tena wa kuendeleza mpango wake wa kuunda makombora ya...
Ni msemo ambao unaendelea kutesa 'punda" wengi mjini pasipo gavoo kuelewa cz mchezo unachezwa kisiri sana na wachache wajuao but once goli limefungwa utaona sasa watu haaa kila mwenyew ananga'a...
Ukiangali kwa umakini picha hapo juu, utaona kuna wabunge wa tatu. Esther Bulaya, Zitto Kabwe pamona na huyu mwingine ambaye jina lake simjui ingawa naona kwenye mkono wake wa kulia naona amevaa...
ulimwengu wa sasa, unaenda kwa spidi kubwa sana na magurudumu yake ikiwa ni mitandao.
Dunia imepita kwenye ulimwengu wa maarifa, sasa ipo kwenye ulimwengu wa taarifa ikikimbia kwa spidi kubwa...