Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Nachukulia mfano kwa Dsm.
Nenda G'mboto /Vingunguti /Buguruni /Ilala Boma na maeneo mengine ndani ya jiji.
Jamani nyama maandalizi yake na packing yake kwa Dsm hata tu huko mikoani ni mbaya sana.Sana jamani.
Mazingira machafu. Wachinjaji wachafu. Vifaa vichafu. Maji hakuna na wengi wa hao wafanyakazi huwa ni walevi sana.
Nyama inakuja nyumbani hovyo kabisa. Haina radha.