Manispaa ya Sumbawanga lini mtaanza ujenzi wa kituo kikubwa cha mabasi?

kijanamdogo

JF-Expert Member
Feb 25, 2018
231
176
Naushauri uongozi wa MANISPAA ya SUMBAWANGA kuanza mchakato wa Ujenzi wa Kituo kikubwa cha MABASI nje ya MJI ili kuupanua MJI wake.Kutokana na Barabara ya kutoka mby/sumbawanga kuwa ktk kiwango cha lami kumekuwa na ongezeko kubwa la MABASI hali ambayo inakifanya Kituo cha MABASI cha Soko MATOLA hakifai. Uongozi wa MANISPAA uige mfano wa MANISPAA ya Morogoro kujenga Kituo cha MABASI cha Kisasa.
 
Back
Top Bottom