mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,765
ulimwengu wa sasa, unaenda kwa spidi kubwa sana na magurudumu yake ikiwa ni mitandao.
Dunia imepita kwenye ulimwengu wa maarifa, sasa ipo kwenye ulimwengu wa taarifa ikikimbia kwa spidi kubwa kwenye ulimwengu wa burudani. Watu kupenda kuburudishwa zaidi ya kuelimika.
Tunatarajia kuwa na watu wengi sana hasa watumiaji wa mitandao ambao ni matajiri wa Burudani, Mabillionea wa taarifa na masikini wa maarifa.