The Kop JF-Expert Member Aug 7, 2010 209 93 Apr 25, 2016 #1 Wasalaam wakuu! Kuna uwezekano wa kwenda visiwa vya shelisheli kwa meli? Gharama inaweza kuwaje? Mwenye taarifa anijuze tafadhali!
Wasalaam wakuu! Kuna uwezekano wa kwenda visiwa vya shelisheli kwa meli? Gharama inaweza kuwaje? Mwenye taarifa anijuze tafadhali!
The Kop JF-Expert Member Aug 7, 2010 209 93 Apr 25, 2016 Thread starter #4 Nyamisati iko wapi mkuu@C. T. U
K Kipimbwe JF-Expert Member Jul 27, 2011 370 71 Apr 25, 2016 #5 The Kop said: Nyamisati iko wapi mkuu@C. T. U Click to expand... Ipo Rufiji DC. Ukifika Kibiti ni rahisi kupata usafiri wakwenda Nyamisati
The Kop said: Nyamisati iko wapi mkuu@C. T. U Click to expand... Ipo Rufiji DC. Ukifika Kibiti ni rahisi kupata usafiri wakwenda Nyamisati
The Kop JF-Expert Member Aug 7, 2010 209 93 Apr 25, 2016 Thread starter #6 Inaweza kuchukua muda gani kufika ushelisheli kwa boti mkuu#kipimbwe
T The lost bible New Member Jan 13, 2017 4 0 Apr 21, 2018 #7 Wakuu naombeni msaada kuhusu njia ya kwenda visiwa vya ushelisheli kupitia Nyamisati