Janja PORI
JF-Expert Member
- Jul 31, 2011
- 825
- 246
Habari za hivi punde ni kwamba kijana maarufu mtandaoni na hapa jijini Dar, 'James Delicious' anashikiliwa na kituo cha polisi Osterbay toka Jumamosi kwa amri ya Kigwangalla.
Ikumbukwe kuwa Waziri Kigwangalla akiwa Bungeni aliamuru kukamatwa kwa wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja wanaojiuza mitandaoni na kumtaja James akitaka akamatwe mara moja.
Rejea uzi huu >>>DODOMA: Kigwangalla aagiza kukamatwa kwa Kijana maarufu mitandaoni kwa ushoga, James Delicious
Mpaka sasa anahojiwa na ametaja list ya wapenzi wake zaidi ya 100 ikiwemo viongozi wakubwa wa nchi.
Swali: Je, Kigwangalla atawaja hadharani?